Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu.
Fuatilia hapa: CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu
Wakati wowote kuanzia sasa, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, atazungumza na waandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa, katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.