VIDEO: Kagame apigwa mawe London

Haya hapa baadhi ya maoni yalipostiwa YouTube - mengine kwa Kilingala na Kifaransa. Wataalamu wa lugha watusaidie:

you can not killed congolese people for ever Mister paul kagame .yours end is not so far away .You would be judged as a war criminal .it is a matter of time .Congo for ever .


I wish they could read that and make sense of it. They are just humorous people. Apart from that they just are ignorant people seeking attention

Shame upon people who seek solutions from external. HE Paul has no solutions of DR Congo in his pockets,Solutions are right there withyou .hahahhahahahahahaha




 
...tuwekee na posta zinazomsifu Kagame coz sidhani kama hakuna watu huko wanaomkubali..."vita ya panzi ni furaha ya kungunguru"...
 
Raisi wangu kiroho safiiiiii! I wish police wetu wajifunze kakitu kwenye hii video
 
Nimeicheki yaani kadhalilishwa sana na watu wake wa rwanda waishio wingereza. Wamemrushia mpaka viatu kama alivyofanyiwa G.Bush kule Iraq.
 
Nimeicheki yaani kadhalilishwa sana na watu wake wa rwanda waishio wingereza. Wamemrushia mpaka viatu kama alivyofanyiwa G.Bush kule Iraq.

Yani sipati picha ..moyo ulivyokuwa unamdunda humo ndani ya gari...
Maana yule jamaa katika hali ya kawaida tu huwa ana khofu muda wote ...
Si umeona gari lilivyotoka nduki ? Pale dereva alikuwa anatekeleza amri ya Kagame
"Ondoa gari kwa kasi Or i will hit you"
 
Bora hata wamemfanyia hivyo ------- kabisAaaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
imenogaje! yaani wangemkongoli tu! yaani ah! mi ningejivua urais. hahahaha....
 
Angalieni mzee wa "I will hit you" watu walivyom-hit

Mm anayenichekesha ni huyo mtangazaji anatakaza kwa mbwembwe ajabu!!!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Naomba magazeti yetu yaandike front page na picha iwekwe.
 
Wadau.....sababu hasa ilikuwa nini?....isijekuwa wamekodiwa wamdhalilishe......mh Rais ambaye ni jirani yetu.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…