Video: Jinsi CCM ilivyo na uwezo wa kuwawajibisha watumishi wa Umma

Wewe ndo umeandika kuhusu bashiru au unadandia tu?
Na kama unampenda bashiru anzisha uzi wake uonyeshe mahaba yako.
Maana sikubhizi wanaume wanajigungua.
Tulia wewe yani umetoka kuzaa badala utulie tumbo lisinyae vizuri unaleta porojo jamvin. Ni wa kike au wa kiume?

Qengay!
 
Tulia wewe yani umetoka kuzaa badala utulie tumbo lisinyae vizuri unaleta porojo jamvin. Ni wa kike au wa kiume?

Qengay!
Hao jamaa ni masalia ya jiwe na kina sukuma gang
 
Wewe ndo umeandika kuhusu bashiru au unadandia tu?
Na kama unampenda bashiru anzisha uzi wake uonyeshe mahaba yako.
Maana sikubhizi wanaume wanajigungua.
Tulia kwanza mnyonyeshe mwanao.

Wacha ukali usiyo na manufaa kwa afya yako.

Tunajua kuwa umebakia mjane ila ujue kuwa wewe siyo wa kwanza.
 
Wewe ndo umeandika kuhusu bashiru au unadandia tu?
Na kama unampenda bashiru anzisha uzi wake uonyeshe mahaba yako.
Maana sikubhizi wanaume wanajigungua.
Mushuti utamjua tu
 
Kawaida sana hiyo
Hivi bado wewe unawashagwaunawashagwa vile kule nyuma?
Sina muda wa kupoteza muda wangu na mtu asiye jitambua kama wewe.

Nilisha kwambia kuwa sitaki uwe una ni quote.

Vinginevyo unatafuta tugombane
 
Anaendelea kula nchi. Maposho kibao unafikiri CCM sawa na Saccos ya Chadema?
WaTZ akili zenu sijui vipi. Kwani watu wanaingia kwenye siasa kwa ajili ya Pesa tu au Mamlaka/power/ushawishi?

Kwani alipokua UDSM alikua hapati pesa ndefu kutokana na shughuli za kitaaluma? Au mtu kma Gwajima hakua na pesa kabla ya kugombea ubunge??

Mwanasiasa ukimnyima ushawishi na mamlaka hizo pesa haoni faida yake maana hazi guarantee future yake ya kisiasa.

Ndio maana unaona polepole amekua mkali sana maana licha ya kwamba pesa anayo ila kumpokonya mamlaka/ushawishi ndio kumuua kisiasa.
 
Sina muda wa kupoteza muda wangu na mtu asiye jitambua kama wewe.

Nilisha kwambia kuwa sitaki uwe una ni quote.

Vinginevyo unatafuta tugombane

Kilichokufanya na wewe uniquote ni nini kama hutaki nikuquote😏😏😏
Ukiacha itakupa amani🤣🤣
 
Kilichokufanya na wewe uniquote ni nini kama hutaki nikuquote
Ukiacha itakupa amani
Jaribu kutumia akili basi.
Wewe jana ndiyo umeni quote.

Siwezi na sina muda wa kusoma hata post zako.
 
Back
Top Bottom