Video: Iyanya feat Diamond - 'Nakupenda'

Video: Iyanya feat Diamond - 'Nakupenda'

Elly_corner

Senior Member
Joined
May 5, 2015
Posts
120
Reaction score
205
A talent is jus a talent no matter how many criticism and hate but the guy is still doing some good work.

Kazi nzuri sana hongera Diamond hongera Iyanya.

Watch "Iyanya x Diamond - Nakupenda [Official Video]"
 
Last edited by a moderator:
Hana mpinzani, Lukelo Sakafu, nifah, matola, mis lincolin, cute b na wengineo kutoka ile kambi njooni huku Diamond anasifiwa.
 
noooooma sana... nimependa ubunifu uliotumika na ukimuangalia iyanya dance moves hahaha hatari saana
 
Ila hii video na wimbo Kama uliwahi kuwa YouTube una Kama mwaka,may be ilikuwa wameupload project ya zamani but ya mwaka hivi
 
i like Diamond's moves... kuna ka style flani hivi hawajakapa airtime ya kutosha..
 
Ila hii video na wimbo Kama uliwahi kuwa YouTube una Kama mwaka,may be ilikuwa wameupload project ya zamani but ya mwaka hivi

Iyanya yes ameishaimba kihivyo kwenye mwimbo mmoja hit song fulani nimesahau jina. Na mie imenikumbushia huo bali video kila kitu tofauti.
 
Iyanya yes ameishaimba kihivyo kwenye mwimbo mmoja hit song fulani nimesahau jina. Na mie imenikumbushia huo bali video kila kitu tofauti.

May be ila pia diamond alikwepo kwenye hiyo ya inyanya,na hiyo sehemu Kama wanapozi kwenye jua diamond pia alikwepo
 
Dayamondi kashindikana. Yule jamaa aliyeibiwa ashapata hela ya kununua vipya au tumchangie
 
ilitoka audio muda na ndo ilikuwa youtube ikiwekewa video ziszo yake...ila ndo wametoa video sasa
 
Hamna sehemu naipenda kama UGOnjwa wamoyo wa tumbo
 
Last edited by a moderator:
Beat ya wimbo huu ni nzuri kweli kweli ingawa video ni ya kawaida tu. Hata hivyo vocals zake ni za kinigeria zaidi ya kibongo! Inawezekana ni juhudi za kujipambaua zaidi katika soko la Nigeria na tusishangae ikafanyiwa remix haraka haraka kupunguza dominance ya vocals za kinigeria!
 
Video mbovu wimbo wa kishenz kabisa, nimejaribu kuupitia mara nyingi lakini sijaona jipya, dai anaimba na pensi ya kulalalia,Iyanya na yeye kavaa kihun kama cargo.

Kwa hali hii basi njia ya King ni nyeupe sana tusubiri tu video ya chekecha itawaziba watu midomo. Period
 
A talent is jus a talent no matter how many criticism and hate but the guy is still doing some good work..
Kazi nzuri sana hongera diamond hongera iyanya
Watch "Iyanya x Diamond - Nakupenda [Official Video]" on YouTube - https://youtu.be/GnH5_0qAcRM

Wimbo na video vinatia kinyaa mpaka jamaa wameacha kuupigia promo unadhan ni bahati mbaya hiyo?
 
Back
Top Bottom