Video: Israel ni noma aisee.... Angalia hii techn yao ya 2015....

Dah!!! Israel ya wapi? Wakat hamna kitu hapo? Wamedisigne mapicha na kuwawekea ndio unasema Israel noma...
Hata ku disigne mapicha mkuu bado wapo mbali sana...... Wakina Ray Kigosi wangekuwa wanaweza kutengeneza hivyo si ungekuta wapo mbali sana wakishirikiana na wizara ya Mwakyembe...
 
Aliyekwambia hiyo ni Teknolojia ya Waisrael ni nani? Hovyooo kabisa kila kitu Israel
 
Hata ku disigne mapicha mkuu bado wapo mbali sana...... Wakina Ray Kigosi wangekuwa wanaweza kutengeneza hivyo si ungekuta wapo mbali sana wakishirikiana na wizara ya Mwakyembe...
Kwan wanaotengeneza hayo ni wenye rank za akina ray kigosi?
Acheni kukurupuka
 
Back
Top Bottom