Huoni walivyo changamka lazima watakuwa “ Aterere”! Gen. Z hao wa Kenya!!I guess hii ni Kenya 🇰🇪 😅
Aterere ...🤣🤣🤣🤣 wakikuyu hao.. wana kastahili kao kakucheza kananiachaga hoiHuoni walivyo changamka lazima watakuwa “ Aterere”! Gen. Z hao wa Kenya!!
Vijana wa bongo bado sana hawana moto huo!