Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,761
Tanzania kwa sasa hivi ni barazani pa wenye mizaha,imagine mtu anaona fresh kabisa kuentertain mikusanyiko kama hiyo bila tahadhari yoyote zama hizi za Corona!🚶🚶🚶
BeberuNdio nani huyo....
🤣🤣🤣Beberu
Mtaalam wa Afya nani? Umeona Gere Ummy Mwalimu kushangilia ushindi wa Coastal?
UmmmmmyNdio nani huyo....
Kafanya kazi kwenye wizara ya afya kwa hiyo mbili tatu za afya anazijua vizuri sana.Kuwa mtaalam wa kitu fulani siyo lazima ukae darasani usomee hicho kitu.Uzoefu ni zaidi ya elimu ya darasani.Huyo ni lawyer......siyo mtaalam wa afya
Aisee.....sawaUmmmmmy
Siyo wote wanaishi kwa kile wanachokisimamiaKafanya kazi kwenye wizara ya afya kwa hiyo mbili tatu za afya anazijua vizuri sana.Kuwa mtaalam wa kitu fulani siyo lazima ukae darasani usomee hicho kitu.Uzoefu ni zaidi ya elimu ya darasani.
Unahitaji kusimamia kitu ili kujua kuwa Corona ipo very serious na inauwa kwa kukunyima pumzi?Siyo wote wanaishi kwa kile wanachokisimamia
Mmmmh!!!Kafanya kazi kwenye wizara ya afya kwa hiyo mbili tatu za afya anazijua vizuri sana.Kuwa mtaalam wa kitu fulani siyo lazima ukae darasani usomee hicho kitu.Uzoefu ni zaidi ya elimu ya darasani.
Tanzania kwa sasa hivi ni barazani pa wenye mizaha![emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 1717419
Maisha binafsi hayo, mwenzio anafurahia ushindi.
Kwanza umeelewa nilichoandika?Kuna siku Obama amecheza kwenye umati wa watu wakati huu wa Corona bila ya kuchukua tahadhari yoyote ile dhidi ya Corona?Maisha binafsi hayo, mwenzio anafurahia ushindi.
Yaani wabongo tunajifanya wajuaji sana, Obama alivyokuwa anacheza na kufanya utani alikuwa anasifiwa ila akifanya Ummy anaonekana hana akili.
Wapi umeandika Corona...?Kwanza umeelewa nilichoandika?Kuna siku Obama amecheza kwenye umati wa watu wakati huu wa Corona bila ya kuchukua tahadhari yoyote ile dhidi ya Corona?
Yaani unahitaji ufafanuzi kuwa kipindi hiki mikusanyiko ambayo haina tahadhari dhidi ya Corona haitakiwi?Wapi umeandika Corona...?
Acha kujitetea, we ulimaanisha kuwa anajitetua, kama haukuwa na maana hiyo ilibidi ufafanue.
Safi sana....habari yako imefanyiwa uhariri.Yaani unahitaji ufafanuzi kuwa kipindi hiki mikusanyiko ambayo haina tahadhari dhidi ya Corona haitakiwi?