Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,768
Yawezekana yeye anajua zaidi kuliko wewe unayepewa information kutoka kwenye media platforms. Anajichanganya hivyo kwa sababu anajua kilichopo nyuma ya corona.Unahitaji kusimamia kitu ili kujua kuwa Corona ipo very serious na inauwa kwa kukunyima pumzi?