vexozanzhu
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 503
- 619
Wengi wao hawapendi kazi ngumu bata sana pombe starehe na vitu rahisi rahisi halafu wageni wakijazana inageuka tatizo, kama ilivyo mambo ya utumwa vile vile mambo ya kulalamika foreigners ni mambo yakizamaniKushindwa maisha anaanza visingizio,sijui mgeni,sijui muamiaji wkt hata dawa ya mswaki hawajui kutengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app