Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 1,403
- 2,517
Hiyo ardhi wanayopigania na kufia ni yao??Kupoteza Watoto 3 kwa mpigo na Wajukuu 3 ni Jambo gumu sana lakini msijifanye hamnazo mnajua kabisa Israel ndio mvamizi katika maisha kuna muda unafika unabakia na option 2 kufa au kuwa mtumwa.Haneya kachukua ya kwanza wanae wamekufa.Sote tutakufa ila usife kitandani kwa mke wa mtu ufie nchi yako ndio akili.
nyie Tz mnaibiwa sana mnajifanya uoga hakuna uoga wa heshima kunguru muoga anaheshimika?? Eagle ni Jasiri ana heshimika.
Netenyahu nae siku zake zikifika atakufa
Ardhi inamiaka zaidi ya mamilion watu wamekuja na kuondoka we unataka kupigania ardhi!!
Wakati africa kuna jangwa halina kazi huko😂😂😂ufala sana kufia kitu ambacho umezaliwa umekikuta pigania familia siyo kitu kisichoongea