Video ikimuonesha bosi wa Hamas Ismael Haniyeh alipopokea kwa mara ya kwanza taarifa ya vifo vya vijana wake na vijukuu

Video hapo chini ikimuonesha kiongozi mkuu wa kundi la Palestina Hamas Ismail Haniyeh
akipokea kwa mara ya kwanza taarifa za vifo za vijana wake watatu Hazem, Mohammed na Amir pamoja na wajukuu zake wanne Mona, Amal, Khaled and Razan.

Sauti inasikika ikitoa ujumbe kwa Haniyeh ambaye alikuwa ziarani hospital Qatar kuwatembelea wapalestina waliojeruhiwa vijana wako watatu na wajukuu zako wanne wameuwawa.

Haniyeh akaonekana kidogo na mshtuko alipopata habari na kujikaza na kubaki mkakamavu kabla ya taratib kutembea kutoka kwenye chumba na Kusema Allah azilaze roho zao mahali pema.

Akaulizwa na msaidizi wake kama wanaweza kumaliza ziara hiyo ya kutembelea wagonjwa? Haniyeh kwa ukakamavu akajibu hapana na kwa nini wamalize akasema waendelee.

Baadaye alitoa kauli kupitia Aljazeera kwa kumshukuru Allah kwa kumpa heshima kupitia vifo vya vijana wake na vijukuu.

Kiongozi huyo mkuu wa Hamas aliendelea kusema madogo wangu wametunukiwa hii heshima. Walibaki na watu wetu wapalestina Gaza, hawakuondoka na kukimbia. Damu za madogo wangu siyo za thamani sana kuliko damu za watu wetu.

Ismail Haniyeh aliendelea kuiponda Israel eti inaendeshwa na roho ya kisasi akidai ameshapoteza ndugu na wanafamilia 60 tangu hii vita ianze.

The terror leader hit out at Israel, stating they are 'driven by the spirit of revenge' as he claimed around 60 members of his family have been killed since the start of the war.

View attachment 2960968
Mwamba
 
Unakuta mtu na phd yake lakini linapokuja suala la uislamu basi mtandao wa akili unakata unaenda dharura kidogo au flight mode kabisa
Same na ukristu

Kuna jamaa yangu ni mkatoliki lakini kila siku anaisifia na kuiabudu Israel while they hate Christianity
 
Bora hao kuliko islam ina chuki na kila kiumbe ambae sio mwislamu na wenyew kwa wenyew shia vs suni
This is so wrong

Watoto wadogo wanaouwawa wana issue gani? Ndio upendo wa agape?

Btw Mimi ni mkatoliki feki
 
Video hapo chini ikimuonesha kiongozi mkuu wa kundi la Palestina Hamas Ismail Haniyeh
akipokea kwa mara ya kwanza taarifa za vifo za vijana wake watatu Hazem, Mohammed na Amir pamoja na wajukuu zake wanne Mona, Amal, Khaled and Razan.

Sauti inasikika ikitoa ujumbe kwa Haniyeh ambaye alikuwa ziarani hospital Qatar kuwatembelea wapalestina waliojeruhiwa vijana wako watatu na wajukuu zako wanne wameuwawa.

Haniyeh akaonekana kidogo na mshtuko alipopata habari na kujikaza na kubaki mkakamavu kabla ya taratib kutembea kutoka kwenye chumba na Kusema Allah azilaze roho zao mahali pema.

Akaulizwa na msaidizi wake kama wanaweza kumaliza ziara hiyo ya kutembelea wagonjwa? Haniyeh kwa ukakamavu akajibu hapana na kwa nini wamalize akasema waendelee.

Baadaye alitoa kauli kupitia Aljazeera kwa kumshukuru Allah kwa kumpa heshima kupitia vifo vya vijana wake na vijukuu.

Kiongozi huyo mkuu wa Hamas aliendelea kusema madogo wangu wametunukiwa hii heshima. Walibaki na watu wetu wapalestina Gaza, hawakuondoka na kukimbia. Damu za madogo wangu siyo za thamani sana kuliko damu za watu wetu.

Ismail Haniyeh aliendelea kuiponda Israel eti inaendeshwa na roho ya kisasi akidai ameshapoteza ndugu na wanafamilia 60 tangu hii vita ianze.

The terror leader hit out at Israel, stating they are 'driven by the spirit of revenge' as he claimed around 60 members of his family have been killed since the start of the war.

View attachment 2960968
Na bado, hapo wakitaka wafanikiwe waondoke wote kabisa. Nashangaa mtu anang'ang'ania sehemu ambayo sio kwake. Wayahudi nao walipitia wanachopitia wapalestina miaka 1500 iliyopita. Wakajipanga na kujiweka kartika system ya serikali mbali mbali ulimwenguni. Wapalestina waondoke wajipange na waweke mipango ya muda mrefu ili kuja kuikomboa Israel.
 
Vipi hamas walichofanya october 7 sio ukatili?
Ni ukatili ndio, sasa kwanini usiende kuua Hamas ila unaua watoto wadogo? Yaani al shabaab ivamie Tanzania ila sisi twende Mogadishu tuanze kuua vitoto?

Vita ni kati ya jeshi na jeshi sio kuua raia wasio na silaha. Cha ajabu watu mnaona sawa tu ila Putin akifanya hayo hayo Ukraine mnasema ni ukatili!!
 
Na bado, hapo wakitaka wafanikiwe waondoke wote kabisa. Nashangaa mtu anang'ang'ania sehemu ambayo sio kwake. Wayahudi nao walipitia wanachopitia wapalestina miaka 1500 iliyopita. Wakajipanga na kujiweka kartika system ya serikali mbali mbali ulimwenguni. Wapalestina waondoke wajipange na waweke mipango ya muda mrefu ili kuja kuikomboa Israel.
Mipango ipi? Hakuna mipango yoyote ni USA akiamua ameamua, ila siku Russia au China akisema imetosha hiyo Israel haimalizi wiki. Kama unabisha angalia tu Hitler mmoja tu ila akala vichwa million 6!! Hao palestina hawahitaji kujipanga wanahitaji kuhakikisha dikteta mmoja tu wa mashariki analeta majeshi pale, kwisha habari.

Ona Syria, mbona Israel alishindwa kumtoa Assad? Sababu ni Russia na Iran wameweka miguu!!
 
Kwanini hamas kama kweli mwanaume asivae kombat atokee hadharani wapambane kiume na idf?
Si mlisema wapo kwenye mahandaki, sasa si muwatafute huko chini kuna haja gani ya kulipua shule? Hitler alipoua wayahudi wasio na hatia million 6 mlilialia kuwa ni gaidi na nyie mnarudia kile kile. Shauri yenu, meza hugeuka ataamka tu Hitler na kama Bible ilivyobashiri wayahudi watateketezwa hadi Farasi watakua wanaelea kwenye bwawa la damu!!!
 
Waislamu wapumbavu sana! Nikikumbuka ile ishu ya kuchinja iliyoibukaga kule Mwanza enzi za utawala wa JK huwaga nacheka sana
Acheni ujinga, mbona Lebanon imejaa wakristo ila bado inapambana na Israel? Mnapenda kuleta udini kwenye hii issue wakati sio factor. Hao wayahudi wenyewe wamelipua makanisa kibao Gaza.

Acheni kujikomba kwa wayahudi wanaona wakristo kama vichaa tu.
 
Faida ni ya muda mrefu, unajitoa sacrifice ili uhuru upatikane na wao walijiandaa kwa hilo. Uoga wenu wakenya ndio maana mnaburuzwa na Wezi wa mifugo na Al shabaab ila hao palestinians are ready to die to liberate their country.

Diaspora ya Palestine ni zaidi ya 13 million so wakiamua kurudi siku moja unadhani patakalika?
Hahaha Zitto jr bana. Jestkilla njoo huku umsome mtu wako
 
Acheni ujinga, mbona Lebanon imejaa wakristo ila bado inapambana na Israel? Mnapenda kuleta udini kwenye hii issue wakati sio factor. Hao wayahudi wenyewe wamelipua makanisa kibao Gaza.

Acheni kujikomba kwa wayahudi wanaona wakristo kama vichaa tu.

Sheikh, Qur’an imeshawazungumzia mayahudi na manaswara/wakristo, hawatakua radhi nasi mayahudi na wakristo mpaka tufuate mila zao, yani wanaona kabisa wasio na hatia, watoto wanauawa ila wanafurahia. Kuuawa kwa Watanzania wawili tu walilaani sana, walitukana sana na kuwageuzia kibao waislamu.
 
Naona huyu mzee ana uzalendo mkubwa na imani pia. Hakatishwi tamaa na mauti
Kupoteza Watoto 3 kwa mpigo na Wajukuu 3 ni Jambo gumu sana lakini msijifanye hamnazo mnajua kabisa Israel ndio mvamizi katika maisha kuna muda unafika unabakia na option 2 kufa au kuwa mtumwa.Haneya kachukua ya kwanza wanae wamekufa.Sote tutakufa ila usife kitandani kwa mke wa mtu ufie nchi yako ndio akili.
nyie Tz mnaibiwa sana mnajifanya uoga hakuna uoga wa heshima kunguru muoga anaheshimika?? Eagle ni Jasiri ana heshimika.

Netenyahu nae siku zake zikifika atakufa
 
Ni ukatili unaopaswa kupingwa na kila mtu ila haijustify mauaji ya watoto zaidi ya elfu 30. Yaani mfano Al shabaab ilipovamia Kenya je wangejibu kwa kulipua na kuua watoto maelfu huko Mogadishu!!

Wao wange deal na Hamas sio raia wasio na hatia.
Sasa idf itapiganaje na hamas wanaovaa kiraia kipindi cha mapigano halafu wanajificha nyuma za wowowo za wanawake wa gaza na watoto kama ngao na wanatangaza vifo vya magaidi wao kama vifo vya wanawake na watoto pia ili kutafuta huruma ya dunia iwatete
 
Magaidi waisrael waoga sana,wanaua raia wa kawaida,badala ya kupigana kwenye uwanja wa vita na wenye silaha,wanaua wasio na silaha.
Hao magaidi wenu wa hamas waambieni waache kujificha maeneo ya raia kama shuleni , misikitini na hospitalini na waache kuwatumia raia wa gaza kama ngao na waache kutangaza vifo vya hamas kama vifo vya watoto na wanawake mfano watoto wa ismail haniyeth mkuu wa hamas vifo vyao wanasema watoto wakati ni watu wazima wenye watoto
 
Back
Top Bottom