Video ikimuonesha bosi wa Hamas Ismael Haniyeh alipopokea kwa mara ya kwanza taarifa ya vifo vya vijana wake na vijukuu

Ni ukatili unaopaswa kupingwa na kila mtu ila haijustify mauaji ya watoto zaidi ya elfu 30. Yaani mfano Al shabaab ilipovamia Kenya je wangejibu kwa kulipua na kuua watoto maelfu huko Mogadishu!!

Wao wange deal na Hamas sio raia wasio na hatia.
We ni mnafiki broo na upo biased sana, mnataka hamas afanye anavotaka ila hamtaki Israeli ajibu anavojua yeye, hamas walipovamia hawakuua watoto, wazee na raia wa kawaida??
Mbona huzungumzii suala la hamas kutumia maeneo ya kijamii kama hospital na shule kujificha na kuficha silaha zao??
Israel wakishambulia hayo maeneo mnaanza kuilaumu inaua watoto kwann msianze kuilaumu hamas wanaojificha humo??

ACHENI KUIPANGIA ISRAEL JINSI YA KU-RESPOND, YEYE NDO KAVAMIA UCHUNGU ANAUJUA YEYE.
 
Eti uchokozi ndio maana nikasema huna unalojua? Mtu ukiwa occupied una haki ya kujikomboa sasa ulitaka watawaliwe na wakoloni alafu wakubali tu? Yaani Tanzania leo Kenya ajichukulie vijiji vya Arusha tukae kimya? Kwamba tukienda wafurusha kwenye hivyo vijiji inakua ni uchokozi? Be serious
Sikia nikuambie hao wayahudi wa Israel walipitia wanachopitia wapalestina miaka mingi iliyopita. Wakaondoka wakajitafuta na kujipanga na sasa wamekuja kuchukua ARdhi yao. Wapalestina wanachotakiwa kufanya ni kuondoka na kujipanga na kuja kuichukua nchi yao. Hauwezi kushindana na mtu aliyekuzidi uwezo cha kufanya ni kuondoka na kujipanga. Israel ishagombaniwa mara kibao kutokana na historia.
1713008699731.png

Hata Kagame aliondoka na kujipanga na baadae akarudi na kujua kuichukua Rwanda. Hatua ya kwanza ya kufanikiwa ni kugundua madhaifu yako. Halafu unayafanyia kazi kujua unapambanaje kujiweka juu ya madhaifu yako. Kuendelea na umasikini jeuri kutafanya wapalestina wafe wengi sana. Watumie akili na nguvu kidogo watafanikiwa. Hauwezi kupingana na Historia, njia za kujikomboa ni kuondoka na kujipanga.
 
Ndio nakueleza kwamba kama serikali ya urusi imejaa wayahudi why iwape silaha wapinzani wa Israel? Umeona ujinga wako sasa!!
Yaani watu ambao population yao ni 0.0000000000001 ya dunia ndio wapo sehemu nyingi za dunia hahahaha una utani? Kama hujui yaani billionaires 31 pekee wanamiliki uchumi sawa sawa na Nusu ya wananchi WOTE middle east!! huo utaalamu bila mtaji wa pesa utaufanyeje? Hao waarabu wanamiliki mpaka assets na klabu za mpira huko kwa waingereza na USA, hata hiyo Dp world tu ipo nchi ngapi? Mafuta ya muarabu nani hatumii dunia hii? Embu acha kukuza hao kanchi kadogo kama kigamboni.
Ishu sio kuwapa silaha wapinzani wa Israel ishu ni kuwapiga Israel. Hakuna nchi ya maana ambayo imesimama na kusema inaunga mkono Hamas na kutuma majeshi yake na kuanza kuishambulia Israel na haitakaa itokee.

Hao waarabu wanamiliki assets lakini usalama wao wanategemea Marekani. Marekani ana kambi tano za kijeshi Saudi Arabia. Kumiliki assets sio kuimiliki dunia kuimiliki dunia ni kuongoza makampuni makubwa. Waarabu wana assets sawa lakini hawana influence katika makampuni makubwa. Na wenye OTP(Over the top ) technology.

Umesema uchumi wa Waarabu ni mkubwa huo uchumi mbona hawajautumia kuiondoa Israel ? Maana wayahudi wapo hapo toka 1948. Kaa na wayahudi ndio utajua ni watu wa aina gani. Hela pekee haitoshi kukupa power, unahitaji research na umiliki esquisite technology.
 
Kwani kipindi Hitler anawateketeza wayahudi kuna mtu alitarajia ujerumani ingekua na uwezo huo wakati ilikua limezoroteshwa baada ya WW 2. Muda ambao hautegemei ataibuka tu kiongozi asiyependa ujinga na utaona moto wake!! It can be anyone from Iran to China to Russia to DPRK!!
Ujerumani imejengwa na wayahudi baada ya vita. Na huku Ujerumani wanajutia alichofanya Hitler. Wamebadilisha hadi wimbo wa Taifa uliotiumika enzi za Hitler. Ishu sio Ujinga ishu ni Maslahi hakuna mtu anaepata maslahi kwa kuwapinga Israel isipokuwa wapalestina tu. Hakuna sababu ya nchi yeyote kuipinga Israel. Hata mauaji ya kimbari ya Rwanda Mataifa yalichelewa kuingilia kati kwa sababu Rwanda haina resources zozote.
 
Kupoteza Watoto 3 kwa mpigo na Wajukuu 3 ni Jambo gumu sana lakini msijifanye hamnazo mnajua kabisa Israel ndio mvamizi katika maisha kuna muda unafika unabakia na option 2 kufa au kuwa mtumwa.Haneya kachukua ya kwanza wanae wamekufa.Sote tutakufa ila usife kitandani kwa mke wa mtu ufie nchi yako ndio akili.
nyie Tz mnaibiwa sana mnajifanya uoga hakuna uoga wa heshima kunguru muoga anaheshimika?? Eagle ni Jasiri ana heshimika.

Netenyahu nae siku zake zikifika atakufa
Fala kweli kweli wewe, unadhani Netanyahu akifa ndo Wapalestina watasalimika,?
HAMAS ni wachokozi sana ndo walianza kuivamia Israel,sasa wanapigwa nyie vibaraka wao mnaona wanaonewa,hakuna anayewaonea,wanavuna walichopanda
 
Back
Top Bottom