Video ikimuonesha bosi wa Hamas Ismael Haniyeh alipopokea kwa mara ya kwanza taarifa ya vifo vya vijana wake na vijukuu

Kupoteza Watoto 3 kwa mpigo na Wajukuu 3 ni Jambo gumu sana lakini msijifanye hamnazo mnajua kabisa Israel ndio mvamizi katika maisha kuna muda unafika unabakia na option 2 kufa au kuwa mtumwa.Haneya kachukua ya kwanza wanae wamekufa.Sote tutakufa ila usife kitandani kwa mke wa mtu ufie nchi yako ndio akili.
nyie Tz mnaibiwa sana mnajifanya uoga hakuna uoga wa heshima kunguru muoga anaheshimika?? Eagle ni Jasiri ana heshimika.

Netenyahu nae siku zake zikifika atakufa
Hiyo ardhi wanayopigania na kufia ni yao??
Ardhi inamiaka zaidi ya mamilion watu wamekuja na kuondoka we unataka kupigania ardhi!!
Wakati africa kuna jangwa halina kazi huko😂😂😂ufala sana kufia kitu ambacho umezaliwa umekikuta pigania familia siyo kitu kisichoongea
 
Kijana kama wewe kushabikia ukoloni karne hii ni mambo ya aibu sana no wonder you're Kenyan a failed state imejaa migomo, njaa, ukabila, vita,magaidi, ndio maana mnashabikia ukatili.

Hamna sehemu nimeshabikia ukoloni, nachopinga ni ukatili unaofanywa na dini yenu ya uislamu, imekua kero duniani, sijui mnataka muishi vipi na binadamu....vita vyenyewe hamuviwezi, kila mkilianzisha mnakufa nyie...
Watu kama hawa ni wa kufutwa

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Hao viongozi wa Hamas wangeomba UN iwakutanishe na viongozi wa Israel wamalize tofauti zao na kukubaliana tuweke silaha chini tuishi kwa amani tuunde serikali moja tushirikiane na tuheshimiana kwa dini zetu bila kuchukuana. Je amani haiwezi kupatikana?
Hapana mkuu, kwa kesho bora ya dunia ni vyema magaida yakamalizwa kabisa.
 
Mipango ipi? Hakuna mipango yoyote ni USA akiamua ameamua, ila siku Russia au China akisema imetosha hiyo Israel haimalizi wiki. Kama unabisha angalia tu Hitler mmoja tu ila akala vichwa million 6!! Hao palestina hawahitaji kujipanga wanahitaji kuhakikisha dikteta mmoja tu wa mashariki analeta majeshi pale, kwisha habari.

Ona Syria, mbona Israel alishindwa kumtoa Assad? Sababu ni Russia na Iran wameweka miguu!!
Toka 1948 waisrael wapo hapo hawajaondolewa. Utasubiri sana kusikia wapalestina wamewafukuza waisrael. Huyu Hitler sio muarabu alikua mjerumani. Na leo hii serikali za Ulaya na Marekani zimejaa wayahudi. Wa kumuondoa Israel hapo ni Marekani na Ulaya. Na cha kuongezea hata Urusi kuna wayahudi katika serikali yao. Hata Abromovich ni myahudi. Hawa watu wamejipanga sio kwamba wanaswali swala tano ili wabaki Israel.
 
Hao viongozi wa Hamas wangeomba UN iwakutanishe na viongozi wa Israel wamalize tofauti zao na kukubaliana tuweke silaha chini tuishi kwa amani tuunde serikali moja tushirikiane na tuheshimiana kwa dini zetu bila kuchukuana. Je amani haiwezi kupatikana?
Serikali moja pale kwenye lile eneo haiwezekani
Baadhi ya wapalestina wanataka serikali moja,ila Hamas kwanza kabisa hawaitambui Israel kama taifa,pili lengo Hamas ni kuanzisha nchi ya kiislamu hapo kitu ambacho haliwezekani kukubalika na Israel.
 
Kupoteza Watoto 3 kwa mpigo na Wajukuu 3 ni Jambo gumu sana lakini msijifanye hamnazo mnajua kabisa Israel ndio mvamizi katika maisha kuna muda unafika unabakia na option 2 kufa au kuwa mtumwa.Haneya kachukua ya kwanza wanae wamekufa.Sote tutakufa ila usife kitandani kwa mke wa mtu ufie nchi yako ndio akili.
nyie Tz mnaibiwa sana mnajifanya uoga hakuna uoga wa heshima kunguru muoga anaheshimika?? Eagle ni Jasiri ana heshimika.

Netenyahu nae siku zake zikifika atakufa
Unavyosema Israel ndiye mvamizi unamaanisha nini,fafanua kidogo kwa kirefu
 
1948 waisrael wapo hapo hawajaondolewa. Utasubiri sana kusikia wapalestina wamewafukuza waisrael
Wayahudi waliishi miaka almost 1000 hapo ujerumani ila Hitler alitumia miaka miwili tu kuwasafisha wote hadi wakaikimbia ulaya ndio sembuse miaka 70 hii.
Huyu Hitler sio muarabu alikua mjerumani. N
Kwani nani kasema lazima aondolewe na muarabu? Mbona wanaotamani Israel ifutike yaani IRAN sio waarabu!! Au ndio mnadanganyana Israel inachukiwa na waarabu na waislam tu? Hapo Lebanon kuna wakristo kibao kuliko nchi zote za middle east ila ndio kila siku inawarushia makombora Israel. Uelewa wako mdogo sana kuhusu geopolitics za middle east.
Na cha kuongezea hata Urusi kuna wayahudi katika serikali yao. Hata Abromovich ni myahudi.
So what kama ni myahudi? Mbona hao Russia ndio wanawapa silaha Iran kila siku za kuwatandika Israel kupitia Hezbollah, Houthi, na Hamas? Kingine hao Russia wanamlinda Assad dhidi ya waIsrael sasa huo uyahudi wa Abramovich umesaidia nini? Kuna watu akili zenu za kitoto sana.
Hawa watu wamejipanga sio kwamba wanaswali swala tano ili wabaki Israel
Ulivyo mpumbavu hujui 20% ya Israel ni waislam na ndio wanaongoza kwa kuzaliana kuliko wayahudi!! Ila unaropoka utadhani Israel haina waislam..... rudi kasome historia ndio uje kuchangia.
 
huyu mwamba asingekua doha na yeye angekua gaza naamin kabisa asingekaza fuvu , ni vilele yeye hali msos wa kugombania wala hanywi maji ya matope ndio anajiona mjasiri kwa gharama za maisha ya wengine
 
Wayahudi waliishi miaka almost 1000 hapo ujerumani ila Hitler alitumia miaka miwili tu kuwasafisha wote hadi wakaikimbia ulaya ndio sembuse miaka 70 hii.

Kwani nani kasema lazima aondolewe na muarabu?
Unadhani nini kilitokea baada ya hitler kuwapunguza ? Unadhani walikaa kimya na kuswali swala tano. Haya unasema kuna nchi nyingine itamuondoa Myahudi Israell na sio Mwarabu. Nchi gani itakuja kumuondoa myahudi Israel ? Watu wamejaa katika serikali zote za nchi zinazojielewa. Mpango wa kuanzisha Taifa la Israel ulianzishwa mwaka 1897 Theodor Herzl katika kongamano la wazayuni jijini Basel, Uswisi. Hii ilikuwa miaka 42 kabla ya WW2. Huku Ujerumani baada ya vita wamebadilisha bendera na wimbo wa taifa na wanapinga ubaguzi dhidi ya wayahudi.
 
.
So what kama ni myahudi? Mbona hao Russia ndio wanawapa silaha Iran kila siku za kuwatandika Israel kupitia Hezbollah, Houthi, na Hamas? Kingine hao Russia wanamlinda Assad dhidi ya waIsrael sasa huo uyahudi wa Abramovich umesaidia nini? Kuna watu akili zenu za kitoto sana.
Hizp silaha zimesaidia nini Hezbollah, Houthi na Hamas ? Bado wanaendelea kupigwa daily kipigo cha mbwa koko. Watu wamejiüpanga unadhani wayahudi wanashinda Madrasa ? Watu ni wataalamu katika sekta kibao na wana position katika sehemu nyingi muhimu duniani. Kuna taifa lina silaha advanced kuliko Marekani ? Yaani ule uchokozi wa Oktoba 2023 ulikuja wakati mzuri. Maana marekani ilikuwa na silaha nyingi ambazo hazitatestiwa katika combat environment. Hizo silaha zishafanyiwa majaribio katika Vita ya Ukraine. Kwa hio wasubiri kipigo.
 
Ulivyo mpumbavu hujui 20% ya Israel ni waislam na ndio wanaongoza kwa kuzaliana kuliko wayahudi!! Ila unaropoka utadhani Israel haina waislam..... rudi kasome historia ndio uje kuchangia.
Mimi ni mpumbavu sana. Ni kweli 20 percent ni waislamu. Wana impact gani katika serikali ya Israel na katika maamuzi ya Israel katika vita hii na wapalestina ? Mimi nimeingia hadi katika masynagogue yao nawaelewa hawa jamaa. Yaani ukipata nafasi ya kukaa nao utajifunza mengi sana.
 
Nchi gani itakuja kumuondoa myahudi Israel ?
Kwani kipindi Hitler anawateketeza wayahudi kuna mtu alitarajia ujerumani ingekua na uwezo huo wakati ilikua limezoroteshwa baada ya WW 2. Muda ambao hautegemei ataibuka tu kiongozi asiyependa ujinga na utaona moto wake!! It can be anyone from Iran to China to Russia to DPRK!!
 
Mimi ni mpumbavu sana. Ni kweli 20 percent ni waislamu. Wana impact gani katika serikali ya Israel na katika maamuzi ya Israel katika vita hii na wapalestina ? Mimi nimeingia hadi katika masynagogue yao nawaelewa hawa jamaa. Yaani ukipata nafasi ya kukaa nao utajifunza mengi sana.
Mbona wapo jeshini, bungeni ni waislam kabisa ila ni waisraeli na wao wanamuamini Allah ila bado wanaua waislam wenzao wa Gaza!!

View: https://youtu.be/Frl5_YT7gVU?si=K9UK44jifKjKGI2f
 
Hezbollah, Houthi na Hamas ? Bado wanaendelea kupigwa daily kipigo cha mbwa koko.
Ndio nakueleza kwamba kama serikali ya urusi imejaa wayahudi why iwape silaha wapinzani wa Israel? Umeona ujinga wako sasa!!
Watu ni wataalamu katika sekta kibao na wana position katika sehemu nyingi muhimu duniani
Yaani watu ambao population yao ni 0.0000000000001 ya dunia ndio wapo sehemu nyingi za dunia hahahaha una utani? Kama hujui yaani billionaires 31 pekee wanamiliki uchumi sawa sawa na Nusu ya wananchi WOTE middle east!! huo utaalamu bila mtaji wa pesa utaufanyeje? Hao waarabu wanamiliki mpaka assets na klabu za mpira huko kwa waingereza na USA, hata hiyo Dp world tu ipo nchi ngapi? Mafuta ya muarabu nani hatumii dunia hii? Embu acha kukuza hao kanchi kadogo kama kigamboni.
 
Yaani ule uchokozi wa Oktoba 2023 ulikuja wakati mzuri.
Eti uchokozi ndio maana nikasema huna unalojua? Mtu ukiwa occupied una haki ya kujikomboa sasa ulitaka watawaliwe na wakoloni alafu wakubali tu? Yaani Tanzania leo Kenya ajichukulie vijiji vya Arusha tukae kimya? Kwamba tukienda wafurusha kwenye hivyo vijiji inakua ni uchokozi? Be serious
 
Back
Top Bottom