Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 346
- 816
Kwamba kuna vijana hawapambani au?vijana pambaneni
Kwamba kuna vijana hawapambani au?vijana pambaneni
wapo wengi mkuuKwamba kuna vijana hawapambani au?
Hilo Begi la mtoto halifanani na hayo magari.Salaam Members!
Huyu kijana ni nani?
Ningependa kujua mawili matatu kuhusu yeye maana siyo kwa jinsi anavyojieleza alivyofanikiwa chini ya SSH.
Vijana wengine kumbe tunasindikiza tu.
View attachment 3392911
ila km kweli vileHilo Begi la mtoto halifanani na hayo magari.
2. Hiyo nyumba haifanani na hayo magari.
Kuna uwezekano ,huyu ni muuza magari ambauo sio yake na ni chawa.
Sijajua geti kafungua nani,ila huyo ni mpangaji hana nyumba
Fake life tu huyo
Ova
Mkuu tunapambana ila nashangaa hawa vijana wanapambana vipi huku SSH naye amewasaidia wakati mimi naona hana loloteKwamba kuna vijana hawapambani au?
Ndiyo hapo mkuu, labda ujuaji wetu upo kwenye codes za kisiasaYani Kwa ujuaji wote WA members humu Hamna anayemjua hata jina.
😄100% ,mtu mwenye pesa hawezi kuonyesha mtandaoni hata siku moja tena mwenye pesa nyingi hataki watu wajue kama ana pesa maana ni risk sana kwake.
Ila hawa wanaoonyesha mitandaoni ni wa kuwahurumia tu wanafeki life eg Chief Godluv anayejifanya ana hela lakini ameenda kuchukua fomu ya ubunge aanataka aende bungeni kulipwa mshahara.
Kipindi niko na hela sikuwa namiliki hizo takataka, hamna gari hapo.Huyu ni mwamba Kijana Masikini kwani hujauona uzi wake kasema sasa hivi kawa tajiri na hana baya? 😂
Igweee!!!Kipindi niko na hela sikuwa namiliki hizo takataka, hamna gari hapo.
Haongezi chuki bali anakufanya wewe upambanie ndoto zako zaidiHawa wapuuzi ndio wanaongeza chuki zisizo na lazima