Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,310
- 4,205
Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi?Pisi kali hiyo kwenye Video naye mikono yake imejaa damu. Hakuna huruma lazima kisasi kiwepo. Hakuna kuwaobea huruma.
View attachment 3507334
adriz de mbusii
Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana.Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi?
Hahahahahaaaaa bwamdogo acha vituko jamvini.Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi?
na wa makolo yupoNa jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana.
Anakimbia huku anasema "gusa achia twende kwao".Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana.
Wanavaa hayo majezi ili wajichanganye na raiana wa makolo yupoView attachment 3507359
Huyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua..na wa makolo yupoView attachment 3507359
hayo ni majambazi yao ya kukodi yanahusika pia na matendo ya utekajiHuyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua..
Daah aisee kweli kabisa hakuna Rasta ambae anaweza kushika SMG na kuua watu hovyo..hayo ni majambazi yao ya kukodi yanahusika pia na matendo ya utekaji
Huyo Jamaa nadhani ameua kama 3000 mwenyewe kwa anavyoonekana 🤔...Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana.
Nna hasira na ilo senge lilovaa mshati wa yanga.Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana.
Rastafarian Huwa Hawa amini kwenye violence na ndio maana true rastafarian Huwa ni mtu amani na upendoDaah aisee kweli kabisa hakuna Rasta ambae anaweza kushika SMG na kuua watu hovyo..
Huyo rasta aliyeshika bunduki automatically sio hawa polisi wa kawaida ... Hawa ni lazima wawe akina bluetooeethna wa makolo yupoView attachment 3507359
Huyu ni task force ya mafwele. Kaua raia wengi sana zaidi ya miaka 10 amekua akihusishwa na mauaji nchi nzima. Kwenye kila oparation ya kuteka na kuua vijana humkosi.Huyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua..