Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Mwaka 2010:
CHADEMA:Tutao elimu bure
CCM:Elimu bure haiwezekani
Mwaka 2015:
CCM:Elimu bure inawezekana
Baada ya uchaguzi wanajisifu kutoa elimu bure bila kuwashukuru waasisi wa wazo hilo.
Mwaka:2015
Lowaasa:Nitamtoa Babu Seya
CCM:Lowassa hawezi kumtoa Babu Seya
Mwaka 2017:
Aliekuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi wa mwaka 2015 Raisi Magufuli amtoa Babu Seya na wana-CCM wale wale wanamshangilia.
Video ya ahadi ya Lowassa kuhusu Babu Seya.
Alafu hawa ndio wanaita wengine nyumbu!!
NB:
Wakati mwaka 2015 CCM walisema elimu bure mpaka chuo kikuu haiwezekani na kwamba CHADEMA walikuwa wanadanganya wananchi,mwaka wa 2020 CCM hawa hawa wanaweza kuja na sera ya elimu bure mpaka chuo kikuu