Video: Hivi ndivyo jinsi CCM wanavyotembelea nyota ya CHADEMA

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,986
144,313
Mwaka 2010:
CHADEMA:Tutao elimu bure
CCM:Elimu bure haiwezekani

Mwaka 2015:
CCM:Elimu bure inawezekana

Baada ya uchaguzi wanajisifu kutoa elimu bure bila kuwashukuru waasisi wa wazo hilo.

Mwaka:2015
Lowaasa:Nitamtoa Babu Seya
CCM:Lowassa hawezi kumtoa Babu Seya

Mwaka 2017:
Aliekuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi wa mwaka 2015 Raisi Magufuli amtoa Babu Seya na wana-CCM wale wale wanamshangilia.

Video ya ahadi ya Lowassa kuhusu Babu Seya.

Alafu hawa ndio wanaita wengine nyumbu!!

NB:
Wakati mwaka 2015 CCM walisema elimu bure mpaka chuo kikuu haiwezekani na kwamba CHADEMA walikuwa wanadanganya wananchi,mwaka wa 2020 CCM hawa hawa wanaweza kuja na sera ya elimu bure mpaka chuo kikuu
 
JPM ANASAFIRIA nyota UDIKTETA wa chadema.
 
Ccm imechoka kifkra haina mawazo mapya kabisa, na ndio maana kila uchaguzi huwa wanaahidi mambo yale yale toka kuondoka mkoloni mwenzao mweupe
 
Hii ndio point lowasa anaenda kuludi nayo kundini. We utaona atasema wamefanya niliyotaka sasa nimeamua kuludi munipokee siasa bhana
 
Tehe tehe
Kila jambo.na wakati wake jambo.lisilowezekana leo huenda mwakani likawezekana
Leo maandamano marufuku,huenda mkesha wa mwaka mpya majuha yakaruhusiwa kuandamana
Tulieni nnyooshwe
 
Mwaka 2010:
CHADEMA:Tutao elimu bure
CCM:Elimu bure haiwezekani

Mwaka 2015:
CCM:Elimu bure inawezekana

Baada ya uchaguzi wanajisifu kutoa elimu bure bila kuwashukuru waasisi wa wazo hilo.

Mwaka:2015
Lowaasa:Nitamtoa Babu Seya
CCM:Lowassa hawezi kumtoa Babu Seya

Mwaka 2017:
Aliekuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi wa mwaka 2015 Raisi Magufuli amtoa Babu Seya na wana-CCM wale wale wanamshangilia.

Video ya ahadi ya Lowassa kuhusu Babu Seya.

Alafu hawa ndio wanaita wengine nyumbu!!

NB:
Wakati mwaka 2015 CCM walisema elimu bure mpaka chuo kikuu haiwezekani na kwamba CHADEMA walikuwa wanadanganya wananchi,mwaka wa 2020 CCM hawa hawa wanaweza kuja na sera ya elimu bure mpaka chuo kikuu

Kumbe Elimu bure iko poa! Sasa tusisikie tena mnaleta unyumbu wenu mara oooh, wanaosoma huko ni akina Kayumba, mara oooh! Walimu sijui nini! Kaeni kimya ccm ifanye yake.
 
Back
Top Bottom