Video: Hivi ndivyo jinsi CCM wanavyotembelea nyota ya CHADEMA

..Lowassa alipotoa kauli ile nilidhani ni upuuzi.

..binafsi I felt embarassed kuwa associated na cdm na mgombea mwenye kutoa ahadi za aina ile.

..Nguza na mwanae wali-exhaust taratibu zote za kisheria na waliwakilishwa na mawakili wazuri tu.

..kutokana ukweli huo naamini haki ilitendeka.

..kitendo cha mgombea Uraisi kupiga kampeni kuwa atawasamehe, na leo Raisi kuwatoa kifungoni Nguza na mwanae, kwangu mimi kinaonyesha waTz hatuko serious na masuala ya ubakaji.

Cc MTAZAMO, Nyani Ngabu, Pascal Mayalla, Nguruvi3
 
Mazee, lakini si wameshatumikia adhabu walau kwa kiasi cha kutosha....
 
CCM inatia aibu sana !
attachment-13-2.jpg
TMPDOODLE1512828302904.jpg
 
Mwaka 2010:
CHADEMA:Tutao elimu bure
CCM:Elimu bure haiwezekani

Mwaka 2015:
CCM:Elimu bure inawezekana

Baada ya uchaguzi wanajisifu kutoa elimu bure bila kuwashukuru waasisi wa wazo hilo.

Mwaka:2015
Lowaasa:Nitamtoa Babu Seya
CCM:Lowassa hawezi kumtoa Babu Seya

Mwaka 2017:
Aliekuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi wa mwaka 2015 Raisi Magufuli amtoa Babu Seya na wana-CCM wale wale wanamshangilia.

Video ya ahadi ya Lowassa kuhusu Babu Seya.

Alafu hawa ndio wanaita wengine nyumbu!!

NB:
Wakati mwaka 2015 CCM walisema elimu bure mpaka chuo kikuu haiwezekani na kwamba CHADEMA walikuwa wanadanganya wananchi,mwaka wa 2020 CCM hawa hawa wanaweza kuja na sera ya elimu bure mpaka chuo kikuu

Are you a man or woman. Umeandika bila aibu wala kufikiria. Lowasa kaamia. Chadema ghafla 2015. Ahadi za wanasiasa ni maneno ya kuwapata Watu kama wewe. Mjinga mjinga. Huna Jema. Ni dalili ya a Woman frustrated either by menopause Au unfulfilled ... life. Mana siasa Kama ndo za aina hii. Hakuna Jema Duniani. JPM is a serious guy. Na wala hatafuti kula sasa. Na wala hajipendekezi. Mana angefanya kuwafurahisha Watu wakubwa. Mana ndo wenye influence ya kuwahonga wajinga kama wewe. Chadema mnakuwa too cheap for anyone ones’s liking. Wamekufa wanajeshi. Ndo habari sasa. Ona mnakotokea. Mmekuwa mikia ya JPM. Poleni sana. Futa tu UZI wako. A mob could never be a community. No goals. No mission no Vision. So sad.
 
Mazee, lakini si wameshatumikia adhabu walau kwa kiasi cha kutosha....

..sidhani kama walitumikia kifungo kiasi cha kutosha.

..na kuwaachia hawa watu mitaani nadhani ni sawa na kuwazodoa victims na kuzidharau mahakama ziliwatia hatiani.
 
Halafu, hivi huku kwetu hatuna mambo ya kama kuachiwa lakini unakuwa under probation...kwa mfano unakuwa huruhusiwi kuwa nje ya makazi yako baada ya muda flani....unakuwa labda na ankle monitor...unakuwa huruhusiwi kunywa pombe....unawekwa sex offender list/ registry....unakuwa hupaswi kuwa karibu na watoto na kadhalika?

Ina maana huyo Babu Seya na huyo mwenzake sasa wako huru kabisa kufanya chochote [simaanishi kuvunja sheria], kwenda popote, na kuishi popote hata eneo lenye watoto?
 
..ndiyo imetoka hiyo.

..usishangae wakitokea kwenye MATANGAZO ya biashara.

..huenda wakaalikwa kwenye MAHAFALI ya shule na vyuo.

..au wakawa kivutio kikubwa ktk "fiesta" zinazozunguka nchi nzima.

..kama ni kuwaachia ilipaswa kufanyika wakiwa tktk umri ambao watu hawatakuwa na habari nao.
 
Mwaka 2010:
CHADEMA:Tutao elimu bure
CCM:Elimu bure haiwezekani

Mwaka 2015:
CCM:Elimu bure inawezekana

Baada ya uchaguzi wanajisifu kutoa elimu bure bila kuwashukuru waasisi wa wazo hilo.

Mwaka:2015
Lowaasa:Nitamtoa Babu Seya
CCM:Lowassa hawezi kumtoa Babu Seya

Mwaka 2017:
Aliekuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi wa mwaka 2015 Raisi Magufuli amtoa Babu Seya na wana-CCM wale wale wanamshangilia.

Video ya ahadi ya Lowassa kuhusu Babu Seya.

Alafu hawa ndio wanaita wengine nyumbu!!

NB:
Wakati mwaka 2015 CCM walisema elimu bure mpaka chuo kikuu haiwezekani na kwamba CHADEMA walikuwa wanadanganya wananchi,mwaka wa 2020 CCM hawa hawa wanaweza kuja na sera ya elimu bure mpaka chuo kikuu

Sio hivyo tu CCM wanaiga hadi nembo.
change.jpg
 
Are you a man or woman. Umeandika bila aibu wala kufikiria. Lowasa kaamia. Chadema ghafla 2015. Ahadi za wanasiasa ni maneno ya kuwapata Watu kama wewe. Mjinga mjinga. Huna Jema. Ni dalili ya a Woman frustrated either by menopause Au unfulfilled ... life. Mana siasa Kama ndo za aina hii. Hakuna Jema Duniani. JPM is a serious guy. Na wala hatafuti kula sasa. Na wala hajipendekezi. Mana angefanya kuwafurahisha Watu wakubwa. Mana ndo wenye influence ya kuwahonga wajinga kama wewe. Chadema mnakuwa too cheap for anyone ones’s liking. Wamekufa wanajeshi. Ndo habari sasa. Ona mnakotokea. Mmekuwa mikia ya JPM. Poleni sana. Futa tu UZI wako. A mob could never be a community. No goals. No mission no Vision. So sad.
Poor English poor Kiswahili matusi mengi lol, jenga hoja ujibiwe kwa hoja sasa unataka tukujibu matusi.
 
Mwaka 2010:
CHADEMA:Tutao elimu bure
CCM:Elimu bure haiwezekani

Mwaka 2015:
CCM:Elimu bure inawezekana

Baada ya uchaguzi wanajisifu kutoa elimu bure bila kuwashukuru waasisi wa wazo hilo.

Mwaka:2015
Lowaasa:Nitamtoa Babu Seya
CCM:Lowassa hawezi kumtoa Babu Seya

Mwaka 2017:
Aliekuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi wa mwaka 2015 Raisi Magufuli amtoa Babu Seya na wana-CCM wale wale wanamshangilia.

Video ya ahadi ya Lowassa kuhusu Babu Seya.

Alafu hawa ndio wanaita wengine nyumbu!!

NB:
Wakati mwaka 2015 CCM walisema elimu bure mpaka chuo kikuu haiwezekani na kwamba CHADEMA walikuwa wanadanganya wananchi,mwaka wa 2020 CCM hawa hawa wanaweza kuja na sera ya elimu bure mpaka chuo kikuu

Ni kweli mkuu ile ilikuwa chadema original, chadema wapinga ufisadi!
Lakini baada ya kuuzwa Kwan kubwa la mafisi hata kutamka neno ufisadi ni marufuku!
By the way, siasa ni sayansi na kila wakati na majira yake
 
Back
Top Bottom