Video,Hii Hapa Kigoma Mpya. Watu wa Dar Wakidhani Mkoani Kutakuwa na Dhiki Milele.

ulienda kasulu, kibondo, Kakonko( Kasanda,Murusagamba) Uvinza( Nguruka, Basanza, Mpeta ) pamechoka sana
Pamechoka na nini? Au umekariri?

Sehemu zote hizo hazikuwa na lami Wala umeme ,Sasa hivi ni πŸ”₯πŸ”₯
 
Pamechoka na nini? Au umekariri?

Sehemu zote hizo hazikuwa na lami Wala umeme ,Sasa hivi ni πŸ”₯πŸ”₯
Pamechoka na nini? Au umekariri?

Sehemu zote hizo hazikuwa na lami Wala umeme ,Sasa hivi ni πŸ”₯πŸ”₯
yemuga kuwa mpole ...hayo maeneo niliyoyataja miundombinu ni mibovu sana....ukiangalia barabara ni za hovyo ,hospital na vituo vya afya hovyo... ila ndo Hali hasi ya maeneo mengi Tz siyo kigoma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…