PreGE2025 VIDEO: Hawa Chawa wa Rais Samia wenye 'plate number' za SSH 2025, Polisi wanaweza wasimamisha barabarani kweli?

PreGE2025 VIDEO: Hawa Chawa wa Rais Samia wenye 'plate number' za SSH 2025, Polisi wanaweza wasimamisha barabarani kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu

Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

IMG_3830.jpeg
Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi wanaweza wasimamisha kweli kwa uchawa huu, ni rahisi kutumia kinga ya Uchawa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wakuu

Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Hii ni mbinu ya kusafirisha wahamiaji haramu waethopia na wasomali broo
 
Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Alafu utasikia wanakemea kampeni kabla ya wakati na wao wanajipakulia minyama
 
Tutayaona mengi mwaka huu. sasa hii ni kiboko lkn bado kuna kiboko zaidi itakuja kwani wapo wanaume watavaa magauni kwani dalili ziko wazi.
 
Asimamishwe kwa kosa gani? Hizo zinalipigwa 5M kwa mwaka.
Kwa maana halisi huo ni "uwekezaji", wa hiyo milioni tano kwa matarajio ya kuzalisha maradufu ya mtaji huo.
Yaani hao wananunua "kamba ndefu" kuhakikisha ulaji wao unapanuka zaidi ya hapo walipofikia sasa.
Huu ndio ufisadi/utapeli/ulaghai na aina zote za uchafu unao endelea chini ya kiongozi huyu.
 
Kinachonipa faraja kwa sasa ni falsafa ya NO REFORM NO ELECTION angalau wao wameona kitu kuliko baadhi ya taasisi za serika wanaendelea kutumia mamilioni ya serikali huku ni kama hawapo.
Hii ni kampeni ya wazi kabisa lkn nani aseme fyuuuuuuuuu aone cha mtema kuni. Halafu linakuaj jitu hadharani eti uchaguzi utakua huru na wahaki,
UHURU NA HAKI VIKO WAPI WAKATI VYAMA VINGINE VIMEANZA KAMPENI KABLA YA MDA NA HAKUNA TAASISI YOYOTE YA KUHOJI.
Sisi tunabaki na NO REFORM NO ELECTION
 
Back
Top Bottom