Video: Halmashauri kuu ya TLP yampitisha Dr. John Magufuli kuwa Mgombea Urais 2020

Uzee wote huo ,pensheni unayo uliyekuwa naibu Waziri mkuu enzi za Mwinyi ,Waziri wa mambo ya ndani ,DSO lakini bado mchumia tumbo maskini .
 
TLP YAMTEUA MAGUFULI KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA HICHO. . . Chama cha TLP kimem.jpg
 
Augustini Mrema mwenyekiti wa chama cha TLP amesema kamati kuu ya chama hicho wamemteua mwenyekiti wa ccm kuwa mgombea wa urais ktk uchaguzi wa 2020.

Inasikitisha sana kuwa na wapinzani kama wa aina ya Lyatonga.
Kwa viongozi kama hawa tusitegemee kupata upinzani ulio thabiti maana wengine ni mamluki.
FB_IMG_1563999332529.jpeg
 
Chama cha TLP kimemteua Rais Dk Magufuli kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amesema Halmashauri Kuu ya TLP ilifanya uteuzi huo ilipokutana miezi miwili iliyopita.

Akizungumzia uteuzi huo amesema Rais huyu ni bora, tukimpoteza, hatupata mwingine. Hivyo ameeleza kuwa wanachama wa TLP na viongozi wake waishangaa CCM, kwani hawaoneshi kutambua mchango na utumishi uliotukuka wa Rais Dk Magufuli.

Ameweka wazi kuwa chama hicho kitamuunga mkono kwenye uchaguzi ujao.
Source: SwahiliTimes

View attachment 1161642


Kuna Mdau kanikumbusha kwa kuniambia Wahenga waliisha sema Ukishindwa kumpiga ungana nae , kwa kauli hiyo Lyatonga Mrema yuko sahihi.
 
Kwa hali hii Mwinyi hawezi kupona,Jk na Mkapa tunawategemea nuke kwenye badala la Waze umri huo lazima ubongo uwe na kutu
 
Huyu hapa Lyatonga Mrema akifafanua

Sisi kutokana na utendaji bora uliotukuka wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli, Halmashauri kuu ya TLP ilikutana miezi miwili iliyopita na kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgongea wa urais wa TLP 2020.

Sisi tutamuunga mkono huyu Rais bora, tukimpoteza hatuwezi kupata Rais mwingine kama huyu.
View attachment 1161592
uyo Mzee Hana lolote
 
Watapitishaje mgombea ambaye sio mwanachama wao? Kipindi cha kusimamisha wagombea wa nafasi ya Urais kimefika? Watanzania tunaitaji maombi.
 
Huyu hapa Lyatonga Mrema akifafanua

Sisi kutokana na utendaji bora uliotukuka wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli, Halmashauri kuu ya TLP ilikutana miezi miwili iliyopita na kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgongea wa urais wa TLP 2020.

Sisi tutamuunga mkono huyu Rais bora, tukimpoteza hatuwezi kupata Rais mwingine kama huyu.

Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Mrema amesema Chama chao kipo kwa ajili ya kumsaidia Rais John Magufuli ambapo msimamo wao ni kuunda UKAWA wao na Rais Magufuli.
View attachment 1161592
Ninachoweza kusema ni kwamba mzee wa kirachacha anaumwa....
By the way ni mtanzania pekee aliyewahi kupata kura yangu ya Urais 1995 na Dr. Masumbuko Lamwai kura ya ubunge
 
Back
Top Bottom