Video: Halmashauri kuu ya TLP yampitisha Dr. John Magufuli kuwa Mgombea Urais 2020

Boss Erythrocyte Sheria za Uchaguzi zinaruhusu Jambo Hili??? Msajili wa Vyama amelitolea UFAFANUZI Hili???
Kweli Tanzania na Duniani Vioja haviishi !!!
Unaambiwa Kosa Vyooote ... Lakini usikose .... AKILI.
Lyatonga yule aliyoichachafya CCM na Jamhuri si Huyu. Yaani ukiisumbua Chama na Jamhuri wanakupa Fupa. Na ukishalikubali Fupa ndio kwisha Habari yako.



Huyu hapa Lyatonga Mrema akifafanua

Sisi kutokana na utendaji bora uliotukuka wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli, Halmashauri kuu ya TLP ilikutana miezi miwili iliyopita na kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgongea wa urais wa TLP 2020.

Sisi tutamuunga mkono huyu Rais bora, tukimpoteza hatuwezi kupata Rais mwingine kama huyu.
 
Halafu umenotice anasema walikutana miezi miwili iliyopita halafu habari inatolewa leo. Tena kabla hata CCM wenyewe hawajampitisha kama mgombea wao. Dah hii imekaa vizuri sana.

Ila Magufuli atalala vizuri leo akijua kuna chama kimempitisha tayari. At least sasa ana uhakika wa kuwa mgombea 2020!
 
Huyu hapa Lyatonga Mrema akifafanua

Sisi kutokana na utendaji bora uliotukuka wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli, Halmashauri kuu ya TLP ilikutana miezi miwili iliyopita na kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgongea wa urais wa TLP 2020.

Sisi tutamuunga mkono huyu Rais bora, tukimpoteza hatuwezi kupata Rais mwingine kama huyu.
Hili tusilichulie kimzaha.

Tutakuja kushangaa mbele ya safari siku akirudisha fomu kupitia TLP. Mbogamboga watabaki wanashangaa wasijue la kufanya.

Tuache kusema katiba hairuhusu. Kwani kuna katiba ipi inafuatwa na Pombe?

Na siku ikitokea, tumekwisha hadi aje aondoke mwendo wa Iddi Amin Dada
 
Yaani Mrema anatutia aibu wachagga wote! Wallah huyu mzee ni kituko. Anajuaje kama Magufuli atafika 2020?

Warumu wam'baye
Una uhakika wachaga wote hawampendi Magufuli hadi Lyatonga awatie aibu wachaga wote? Ukabila karne hii ni upumbavu.
 
Back
Top Bottom