Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane
CAF wamesema wakati wa mvua.Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane
Akichukua ubingwa huko huko Amaan mtakuja na visingizio vingine,poleni sana kwa kutesekaHii ni karma ya kuvuruga mpira, 5imba walishirikiana na TFF na TPBL kuvuruga derby nakufanya mizaha, sasa ugulieni maumivu
Ni mwendo wa kwenda Zanzibar.Hii ni karma ya kuvuruga mpira, 5imba walishirikiana na TFF na TPBL kuvuruga derby nakufanya mizaha, sasa ugulieni maumivu
Haichukui nafasi ya Daktari
Ubingwa gani unaouzungumzia??Akichukua ubingwa huko huko Amaan mtakuja na visingizio vingine,poleni sana kwa kuteseka
Kwani huko Amaan Simba inakwenda kufanya nini?Ubingwa gani unaouzungumzia??