VIDEO - Dunia Inakaribia Mwisho Wake?

VIDEO - Dunia Inakaribia Mwisho Wake?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,086
Reaction score
34,883
5840878.jpg

Walipotangazwa kuwa sasa ni mume na mke
Tuesday, July 26, 2011 4:04 AM
Hilo ni swali ambalo baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza kufuatia tukio la mamia ya watu wa jinsia moja kuruhusiwa kufunga ndoa nchini Marekani, ilikuwa ni shamra shamra pale wanawake walipowaoa wanawake wenzao na wanaume kuolewa na wanaume wenzao.

<tbody>
[TD="colspan: 3"] VIDEO - Dunia Inakaribia Mwisho Wake? huu ndio Ustaraabu wa MaShetani wa Kizungu wanao tuambukiza Utamaduni wao Mchafu, hata sisi watu Weusi Tunawaiga hao Mashetani wa kizungu Wachafu wa Mazingira. Angalia Video.......... [/TD]

[TD="colspan: 3"] Mamia ya mashoga na wasagaji walijazana jijini New York ili kutimiza ndoto zao baada ya sheria ya kuruhusu watu wa jinsia moja kufunga ndoa kuanza kutumika rasmi jumapili.

Kulikuwa na msururu mrefu mbele ya ofisi za kufungisha ndoa kwenye jiji la New York pale wanaume waliokuwa na ndoto za kuwaoa wanaume wenzao na wanawake waliokuwa na ndoto za kuolewa na wanawake wenzao, ndoto zao zilipokamilika.

Mamia ya watu waliotaka kufunga ndoa za jinsia moja walijitokeza kutumia nafasi hiyo ambayo kwa mara kwanza imepitishwa kwenye jiji la New York na miji mingine ya jimbo hilo.

Wakati mashoga na wasagaji wakioana, waumini wa kikristo na watu wengine wanaopinga ndoa za jnsia moja waliandamana wakitaka ndoa za jinsia moja zipigwe marufuku na wakazi wa jimbo la New York waruhusiwe kupiga kura za maoni kuamua kama ndoa hizo zipitishwe au la.

Angalia VIDEO za kizaa zaa hicho cha ndoa za jinsia moja.[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="colspan: 3"] VIDEO - Mwanaume Amuoa Mwanaume, Mwanamke Amuoa Mwanamke VIDEO - Ndoa za Jinsia Moja Ruksa NYC [/TD]

</tbody>




 
Last edited by a moderator:
huu naamini kabisa ni u-agent wa shetani!
how dare jamani!! howwwww.
 
Jamani hivi kweli mwanaume wengine ndo wamekuwa watu wa kumdharau mungu kiasi hiki, its too much. Aibu aibu aibu isiyoelezeka
 
Back
Top Bottom