figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,707
- 59,226
safi sana dr. mia
Ili watu waamini kuwa ni kauli za Slaa inabidi awe anahojiwa live tu. Akiandika kwenye mitandao watu hawawezi kujua kama ni yeye au Josephine.
safi sana dr. mia
Ajibu kwanza shutuma dhidi ya josephine hapa
ulitaka umsikilize anaekubashiiiiiiiyaga?
Mahojiano na nani, what a partial topic is this?Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 1 - YouTube
Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 2 - YouTube
JE UNADHANI NI MOJA YA AINA YA VIONGOZI MAKINI TUNAOHITAJI NA TUTAKAOJUTA TUKIWAKOSA KATIKA TANZANIA YA LEO HASA KWA MABADILIKO MAKUBWA NA YA HARAKA TUNAYOHITAJI ILI KWENDA SAMBAMBA NA MABADILIKO YA KIUCHUMI NA USAWA KWA WATANZANIA WOTE. TOA MAONI YAKO KAMA MTU MAKINI USIYESUKUMWA NA USHABIKI WA KICHAMA, KIMASLAHI AU MAKUNDI YENYE MALENGO TOFAUTI KWA MAENDELEO YENYE USAWA KWA WATANZANIA WOTE.
Wala hata hajasikiliza kitu, hawa si unajua ni kama misukule tu, wapo hapa kusifia na kutetea wakiongoza na mbeba sumusafi kwa jambo gani alilolisema la maana? mbona mnapotosha sana huyu babu?
Ili watu waamini kuwa ni kauli za Slaa inabidi awe anahojiwa live tu. Akiandika kwenye mitandao watu hawawezi kujua kama ni yeye au Josephine.
Wala hata hajasikiliza kitu, hawa si unajua ni kama misukule tu, wapo hapa kusifia na kutetea wakiongoza na mbeba sumu
Mkuu...kwa hili unayo point...yulw mwanamke amenisikitisha sana..alafu bado hatambui kama amekosea anadharau watu anawaita wajinga...ameniudhi sana.Ninaamini kwa asilimia 70 ID ya dr slaa hua anaitumia huyo mwanamke..kwa sababu hata flow ya mawazo inakuwa haina akili
Wala hata hajasikiliza kitu, hawa si unajua ni kama misukule tu, wapo hapa kusifia na kutetea wakiongoza na mbeba sumu
Ili watu waamini kuwa ni kauli za Slaa inabidi awe anahojiwa live tu. Akiandika kwenye mitandao watu hawawezi kujua kama ni yeye au Josephine.
Ajibu kwanza shutuma dhidi ya josephine hapa
Ajibu kwanza shutuma dhidi ya josephine hapa
Ili watu waamini kuwa ni kauli za Slaa inabidi awe anahojiwa live tu. Akiandika kwenye mitandao watu hawawezi kujua kama ni yeye au Josephine.
utakuwa unaumwa mavi wewe gamba
Wewe nawe akili yako ndogo...unafikiri kila mtu anaefikiria objectively ni gamba...badilikeni vijana muone mambo kwa upana wake.
Ajibu kwanza shutuma dhidi ya josephine hapa