Wacha weweHuu ni mfumo wakawaida tu, unatumika sana West Africa kama unavoona akina tecno,olomide,davido,wizkid wanavofnya diamond mashindano yake ni dhidi ya hawa watu kaona kma Tz tunapwaya kimataifa dhidi ya hawa Wa nigeria maana wanatoa nyimbo kila kukicha
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
yes, this is the right thing to do.[HASHTAG]#operationondoaLizer[/HASHTAG]
sio kweli akina Beyonce, Future, Drake, Wizkid, Davido pia hawajiamin mbona ngoma zao ziko heat vibaya mnoHuku kuachia ngoma nyingi n dalili ya kutojiamini
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
Ukisikiliza wimbo wa davido If na fall beat ni kama zinaendana sana na nikisikiliza hii ya Chibu mmmhhhj nashindwa kutofautisha beat but ngoma ni nzuri ubunifu wa kideo uko poa na chibu ni chibu na davido ni davido otherwise hayo mengine watajuana wenyewe huko.....Fall by Davido
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Anatakiwa atoe wimbo kila baada ya muda gani ili aonekane anajiamini?Huku kuachia ngoma nyingi n dalili ya kutojiamini
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
Identity ya muziki wa ki-TZ ni upi?Dogo ameanza kutuharibia Bongo Fleva yetu na Identity ya Watanzania.
Hii lugha gan mkuu??Wow People bitch abaut everything...
Sent from my Diamond Rose Iphone 32 GB using JamiiForums Mobile App