Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,904 Reaction score 1,364 May 28, 2024 #1 Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri. Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni View: https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email
Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri. Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni View: https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,865 Reaction score 60,869 May 28, 2024 #2 Sijaelewa ila nimemuona mtu kama Tulia Ackson halafu hapo ni Misri katika Pyramid
A August 83 Member Joined Apr 8, 2024 Posts 29 Reaction score 61 May 28, 2024 #3 Spika Tulia akitalii huko Pryimid, Misri na ulinzi mkali! Sema Lema kaweka hiyo video kama kejeli na mzaha.
Spika Tulia akitalii huko Pryimid, Misri na ulinzi mkali! Sema Lema kaweka hiyo video kama kejeli na mzaha.
Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,904 Reaction score 1,364 May 28, 2024 Thread starter #4 ndege JOHN said: Sijaelewa ila nimemuona mtu kama tulia akson halafu hapo ni misri katika pyramid Click to expand... Asante sana, nimekuelewa na naona uko sahihi
ndege JOHN said: Sijaelewa ila nimemuona mtu kama tulia akson halafu hapo ni misri katika pyramid Click to expand... Asante sana, nimekuelewa na naona uko sahihi
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,511 Reaction score 42,769 May 28, 2024 #5 Hana hiyo hadhi waliyompa
hah JF-Expert Member Joined Jan 28, 2024 Posts 507 Reaction score 1,006 May 30, 2024 #6 Binadamu Bwana!! anakupa Upovu,,alafu anakwambia kuwa Uyaone.
S saigilomagema JF-Expert Member Joined Jun 5, 2015 Posts 5,677 Reaction score 7,810 May 30, 2024 #7 Kamakabuzi said: Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri. Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni View: https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email Click to expand... Lema yuko wapi au unamwota?
Kamakabuzi said: Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri. Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni View: https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email Click to expand... Lema yuko wapi au unamwota?
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 6,847 Reaction score 12,026 May 30, 2024 #8 Superbug said: Hana hiyo hadhi waliyompa Click to expand... Ila Lema anayo?
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,262 Reaction score 55,555 May 30, 2024 #9 Ila kitambi Cha Mheshimiwa
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 20,858 Reaction score 15,083 May 30, 2024 #10 Superbug said: Hana hiyo hadhi waliyompa Click to expand... Pumbavu wewe!!
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,606 Reaction score 17,122 Jun 2, 2024 #11 Komedi...