B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,788 Reaction score 4,889 Sep 6, 2023 Thread starter #21 Evelyn Salt said: Nmekumbuka heka heka za 2015 π Click to expand... Uligombea?!
Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 10,509 Reaction score 16,734 Sep 6, 2023 #22 Petro E. Mselewa said: Aisee...waliimba wapi? Akina nani? Kulikuwa na nini? Kwanini? Lini? Click to expand... Kwa sauti na ngoma hiyo ni watu wa pwani fulani hao.Hata hivyo uchaguzi wao ni ovyo kabisa.
Petro E. Mselewa said: Aisee...waliimba wapi? Akina nani? Kulikuwa na nini? Kwanini? Lini? Click to expand... Kwa sauti na ngoma hiyo ni watu wa pwani fulani hao.Hata hivyo uchaguzi wao ni ovyo kabisa.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,514 Reaction score 88,999 Sep 6, 2023 #23 Evelyn Salt said: Weeee sina hamu matokeo yanasomwa na jaji nilipata homa....sitaki tena heka heka mie, naangalia tumbo langu tu. Click to expand... Muda wakutuliza komwe sasa
Evelyn Salt said: Weeee sina hamu matokeo yanasomwa na jaji nilipata homa....sitaki tena heka heka mie, naangalia tumbo langu tu. Click to expand... Muda wakutuliza komwe sasa
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,671 Reaction score 167,733 Sep 6, 2023 #24 Burkinabe said: Uligombea?! Click to expand... Hapana nilikua tu mkereketwa, shabiki kindakindaki
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 25,963 Reaction score 28,290 Sep 6, 2023 #25 stow away said: Sijaelewa unamaanisha nini Click to expand... Kuwa bora muuaji corona kuliko mwanakiππ
stow away said: Sijaelewa unamaanisha nini Click to expand... Kuwa bora muuaji corona kuliko mwanakiππ