Nimeiangalia video vizuri sana, kwanza haionyeshi bomu linavyoripuka kama unavyosema kwenye HEADING YAKO(huu ni uzushi)
pili kuanzia sekundi ya kwanza hadi ya 50, unaonyesha miguu na makalio ya watu sijui for what purpose( natumai wewe si mriberali)
tatu, sioni watu wanavyokimbia kama unavyosema, kuanzia sekunde ya 54 watu wanaonekana wamesimama kwenye kama kichuguu tena wengine wanapiga stori na kuongea na simu kama vile hakuna tukio la hatari
nne, baade kuanzia dakika ya kwanza naona watu wanaondoka eneo la tukio kwa mwendo wa hima na wengine taratibu, sio kukimbia kwa kasi kama unavyodai!
Mwisho: uzushi sio kitu kizuri usifikiri wote tunatumia simu za tochi hatutaweza kudownload hiyo clip yako ya you tube ambayo wewe umeiita video
Wakitaka iliyo clear ipo nimepiga kwa camera yenye Full HD

Usijibizane na hiyo takataka!! utamtafuta utengeneze Murder bure! acha wengine ni cross za binadamu na masokwe!!Revocatus Kashanga kwanza naanza kwa kukuita MPUMBAVU na sio mzalendo. badala ya kuanza kutafuta namna ya kuzuia huu ushenzi wewe anazakuropoka ropoka ovyo... Watu wamepoteza maisha na wewe unaona kawaida tu..
Wazazi na ndugu wa wafiwa wanajuta kuifahamu chadema, sidhani kama kutakua na kura za wahanga wa maandamano na vifo vilivyotokana na kampeni ya kupiga vita ufisadi. Ni jambo la kusikitisha mno kuona namna Chadema ilivyobadilika ghafla la kukumbatia mafisadi.Hahah pumba tupu