Video: Bomu lilivyolipuka Soweto Arusha

Video: Bomu lilivyolipuka Soweto Arusha

Hongera kwa ujasiri mkuu! Nimeicheki kwenye simu ipo vizuri, ngoja niiangalie kwenye computer labda naweza kumuona aliyerusha bomu na mimi nikajinyakulia 100Mil kama sio 10Mil.
 
Nimeiangalia video vizuri sana, kwanza haionyeshi bomu linavyoripuka kama unavyosema kwenye HEADING YAKO(huu ni uzushi)
pili kuanzia sekundi ya kwanza hadi ya 50, unaonyesha miguu na makalio ya watu sijui for what purpose( natumai wewe si mriberali)
tatu, sioni watu wanavyokimbia kama unavyosema, kuanzia sekunde ya 54 watu wanaonekana wamesimama kwenye kama kichuguu tena wengine wanapiga stori na kuongea na simu kama vile hakuna tukio la hatari
nne, baade kuanzia dakika ya kwanza naona watu wanaondoka eneo la tukio kwa mwendo wa hima na wengine taratibu, sio kukimbia kwa kasi kama unavyodai!
Mwisho: uzushi sio kitu kizuri usifikiri wote tunatumia simu za tochi hatutaweza kudownload hiyo clip yako ya you tube ambayo wewe umeiita video

...dogo pole sana ...tena sana!!!!!
 
...Mkuu umenikumbusha machozi yananilengalenga!!!! VERY sad!!! Masikini wale watoto......nimeumia sana......
 
Kilichobaki ni kilipuliwa bunge ndo hawa wanaojiita viongoz wa nchi watashika adabu
..wavunjike miguu na kufa kabisa..tumechoka kuchezewa akili na hawa viongozi wapumbavu wasojua majukumu yetu...mabomu ya kanisani mpk leo no majibu...upumbavu tuuu....wachochezi km kina ilunga wanakula bata tu...si baba riz ndo mdhamini....I wsh tanzania iwe km misri au libya..ht tukipoteza uhai potelea mbali..ila vizazi vijavyo vitakuwa na amani..tumechoooookaaaaa.....halafu liwaziri sijui la nchi na makorokocho linasimama bla bla blaaaa...nyambafuuu
 
NNA HASIIIIIRAAAAAAA.....Linchi linakera sana...nasikia aibu kuwa mtanzania....
 
Inasikitisha, e Mwenyezi Mungu lipiza kisasi kwa wahusika kabla ya Mwaka 2013 kuisha. Amen.
 
Wadau, kuna hii taarifa kuwa kuna ushahidi wa Video wa ulipuaji wa Bomu kwenye mkutano wa Chadema wa kufunga kampeni za Udiwani.
Sasa kama ijulikanavyo JF ndio kila kitu, mi naomba hiyo Video iwekwe humu ndani, tuwaone wahusika laivu ili wabngo tuwajue wabaya wetu.
Manake bila hivo hii tabia itaendelea kukua sana, umefika wakati wa wauaji kama hao kushtakiwa kwa jamii kwanza.
Naomba ujumbe huu umfikie, Mheshmiwa Mbowe, Dr. Slaa, Zito, Slaa, Lema na makamanda wengine.
 
nyie ambao hamuoni mnatumia internet ya mtandao gani mbona inaonekana vzr tu TUMIENI SMILECOM
 
Hv kwa nini Serikali ina roho mbaya namna hii. Walipoona uwanja umejaa basi wakaona wivu wakaamua kuwalipua watu. Hebu angalia watu wanavyokimbia kujiokoa wamekosa nini jamani?
 
Je ilikuwa dhambi kubwa namna gani kuhudhuria huu mkutano? Hay majibu walitakiwa Mwigulu na Nape watupatie.
 
Duuu mwili umenisisimka Inasikitisha sana ni ukatili wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom