Video: Bomu lilivyolipuka Soweto Arusha

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Nimejaribu kuweka video niliyoshoot ambayo ime capture moment ambayo bomu lililipuka viwanja vya Soweto hapa Arusha na matafaruku uliotokea

Kwa mtu mwenye utu hatafurahia kuona watu wakikimbia namna hii kwa sababu tu anataka aendelee kutawala.

Fuatilia video hii ambayo nime ondoa tu sehemu ambazo siyo muhimu uone na kusikia MC Mr. Nkonyi akiita msaada kuchukua maiti na waliojeruhiwa. Kama hutaipata hapa fuatilia link Youtube.

[video=youtube_share;K45Qx95AOxM]http://youtu.be/K45Qx95AOxM[/video]
 
Video iko vizuri na nimejaribu kwa kadri niwezavyo kuonyesha the moment of blast nikiwa mita 100. Fuatilia mkuu utaona blast kwa mbali na moshi na hatimaye watu kuanza kukimbia. Sikuwa karibu kwani ningekuwa nami naagwa leo.

Angalia pia hapa http://youtu.be/K45Qx95AOxM
 
nikijaribu kuicheki na kuidownloand inaniandikia you browser not current recognize any of the video formarts available sijui wengine mmefanikiwa kuitizama, au ndo wameisha anza njama zao tusiione kama kawaida yao.
 
Video iko vizuri na nimejaribu kwa kadri niwezavyo kuonyesha the moment of blast nikiwa mita 100. Fuatilia mkuu utaona blast kwa mbali na moshi na hatimaye watu kuanza kukimbia. Sikuwa karibu kwani ningekuwa nami naagwa leo
Mkuu haionekani
 
Kazi mzuri ,tumepata taswira !!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Inasikitisha sana kuona clip hii. Nimelinganisha na maneno ya Mh. Lukuvi ya asubuhi ya leo katika taarifa yake BUNGENI, kwa kweli kunahaja ya watawala wetu kuthamini utu wetu.
 
203810797.jpg
 
Back
Top Bottom