Video: Bomu lilivyolipuka Soweto Arusha

Video: Bomu lilivyolipuka Soweto Arusha

Kwa kweli inasikitisha sana,MC alichanganyikia kwa kiasi fulani maana ana Mwita M/kiti Mbowe bila kueleza kilichotokea.Wananchi walianza kutimka bila kujua kilichotokea.Kamanda umeonyesha UJASIRI.MUNGU AKULINDE.
 
DU!inaonekana mara ya kwanza walikuwa ajajua kama ni bomu maana wananchi wanaonekana baada ya mlipuko kuduwaa mpaka walipoambiwa ni bomu elimu ya kujikinga pia inaitajika kwa raia.
 
nikijaribu kuicheki na kuidownloand inaniandikia you browser not current recognize any of the video formarts available sijui wengine mmefanikiwa kuitizama, au ndo wameisha anza njama zao tusiione kama kawaida yao.

inaonekana vizuri, kama inasumbua kwa download, you can just add to bookmark
 
aksante sana , tunaomba na wengine muendelee kuupload zikiwa nyingi kuna kitu tutakigundua kwenye hilo tukio..........
 
Mmmh... Mungu atusaidie tu kwakweli tumefika pabaya.. Sooo sad

tunashukuru sana kwa video hii
 
Nimeiangalia video vizuri sana, kwanza haionyeshi bomu linavyoripuka kama unavyosema kwenye HEADING YAKO(huu ni uzushi)
pili kuanzia sekundi ya kwanza hadi ya 50, unaonyesha miguu na makalio ya watu sijui for what purpose( natumai wewe si mriberali)
tatu, sioni watu wanavyokimbia kama unavyosema, kuanzia sekunde ya 54 watu wanaonekana wamesimama kwenye kama kichuguu tena wengine wanapiga stori na kuongea na simu kama vile hakuna tukio la hatari
nne, baade kuanzia dakika ya kwanza naona watu wanaondoka eneo la tukio kwa mwendo wa hima na wengine taratibu, sio kukimbia kwa kasi kama unavyodai!
Mwisho: uzushi sio kitu kizuri usifikiri wote tunatumia simu za tochi hatutaweza kudownload hiyo clip yako ya you tube ambayo wewe umeiita video
 
Ni bora ungekaa kimya kuliko kushutumu kwa jambo linaloonekana wazi. Video inaonesha mlipuko ulivyotokea, watu wanavyoulizana kuna nini na hata mc anavyoomba msaada lakini kwa sababu unayoijua wewe uanaona ni uzushi.

Inaonekana pengine unafurahia yaliyotokea hapa Arusha hivyo umepata mahali pa kuionesha lakini utu na uhai wa binadamu ni zaidi ya kitu chochote. Siku yakikufika ndiyo pengine utatia akili
 
Dah Watz tunakoelekea siooo kabisaaa. Ht mm nimeiona na nimeielewa vzr kbs kwn ipo clear. Wahusika lazima wawajibishwe
 
Nimeiangalia video vizuri sana, kwanza haionyeshi bomu linavyoripuka kama unavyosema kwenye HEADING YAKO(huu ni uzushi)
pili kuanzia sekundi ya kwanza hadi ya 50, unaonyesha miguu na makalio ya watu sijui for what purpose( natumai wewe si mriberali)
tatu, sioni watu wanavyokimbia kama unavyosema, kuanzia sekunde ya 54 watu wanaonekana wamesimama kwenye kama kichuguu tena wengine wanapiga stori na kuongea na simu kama vile hakuna tukio la hatari
nne, baade kuanzia dakika ya kwanza naona watu wanaondoka eneo la tukio kwa mwendo wa hima na wengine taratibu, sio kukimbia kwa kasi kama unavyodai!
Mwisho: uzushi sio kitu kizuri usifikiri wote tunatumia simu za tochi hatutaweza kudownload hiyo clip yako ya you tube ambayo wewe umeiita video

Hapa ndo unajiona ume-analyse???. Jitambue mkuu! Mbona video/clip hiyo inaonekana safi kabisa. Kumbuka watu wengi akiwepo mpiga picha walikuwa nyuma sana, pili ukiangalia, baada ya kujua kuwa ni bomu wengi walianza kutoka mbio! Halafu, angalia upande wako wa kulia utapona moshi mweusi! Hapo ndo kwenye bomu.

Tatizo umeanza kutoa shutuma kana kwamba hujaenda shule. Poles sana!
 
Back
Top Bottom