Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Licha ya vita iliyoanzishwa na mkuu wa mkoa kisha Rais kumteua kamishna wa kupambana na madawa hayo, biashara ya madawa ya kulevya bado imeshamiri Dar, mateja bado wananunua dawa hizo japo wanadai kwa sasa imependa bei kutoka 1,000 hadi 3,000 ila kuacha hawawezi hivyo inabidi wafanye uhalifu zaidi ili kufidia kuongezeka huko kwa bei
VOA walitembelea vituo vya mateja Dar na kuja na ripoti hii
VOA walitembelea vituo vya mateja Dar na kuja na ripoti hii