Mie Nnayo ila Hauonyeshi Uzito wa Kuitaka!Kama ilijaa Usanii waitakia nini!Huna mambo ya maana mpaka utake Usanii!Mwenye kuwa na video au audio speech ya Lowasa aliyotoa wakati wa kujiuzulu tunaomba hapa tuweke kwenye simu zetu maana ilijaa usanii mwingi na inafurahisha kuisikiliza. ''Mh. spika, now am going to grant a Wish, naona niachie ngazi, tatizo ni huu Uwazi mkuu....'' Hapa ndo patamu kweli
nitakuwekea audio.
Mie Nnayo ila Hauonyeshi Uzito wa Kuitaka!Kama ilijaa Usanii waitakia nini!Huna mambo ya maana mpaka utake Usanii!
mkuu iweke kwa faida ya wengine nikiwemo mimi
Fanya jitihada mkuu utuwekee hiyo kitu.Inapatikana TBC wakati ule ikiitwa TVT. Miye ninayo somewhere.. I just don't remember where.. uzee.
yes mkuu. Tanzanian policeMkuu hii avator yako vipi ? Huyu ni polisi wa Tanzania au ?
Aaaaaah, Mkuu M.M vipe tena? Tusaidie Mkuu pamoja na uzeeInapatikana TBC wakati ule ikiitwa TVT. Miye ninayo somewhere.. I just don't remember where.. uzee.
Duh! Kweli EL ana mtandao mpana na kiboko, anafanya mpaka watu washindwe kuambatanisha video yake hapa!! Nadhani anatumia teknolojia ya hali ya juu kupitia softwere maalum za uzee, umbali, usahaulifu nk..! Teh teh teh teh teh...! Kwa kwa kwa kwa..!