Video & audio ya Lowasa akijiuzuru bungeni

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,233
8,431
Mwenye kuwa na video au audio speech ya Lowasa aliyotoa wakati wa kujiuzulu tunaomba hapa tuweke kwenye simu zetu maana ilijaa usanii mwingi na inafurahisha kuisikiliza. ''Mh. spika, now am going to grant a Wish, naona niachie ngazi, tatizo ni huu Uwazi mkuu....'' Hapa ndo patamu kweli
 
jamani bado hamjaipata tu. tuwekeeni hiyo hotuba bado tunaihitaji
 
Mwenye kuwa na video au audio speech ya Lowasa aliyotoa wakati wa kujiuzulu tunaomba hapa tuweke kwenye simu zetu maana ilijaa usanii mwingi na inafurahisha kuisikiliza. ''Mh. spika, now am going to grant a Wish, naona niachie ngazi, tatizo ni huu Uwazi mkuu....'' Hapa ndo patamu kweli
Mie Nnayo ila Hauonyeshi Uzito wa Kuitaka!Kama ilijaa Usanii waitakia nini!Huna mambo ya maana mpaka utake Usanii!
 
Tuwekeeni basi jamani mbona mnatubania? Hata ile ripoti ya Mwakyembe kama ipo tusaidieni ilio tuweke kumbukumbu sawa
 
Duh! Kweli EL ana mtandao mpana na kiboko, anafanya mpaka watu washindwe kuambatanisha video yake hapa!! Nadhani anatumia teknolojia ya hali ya juu kupitia softwere maalum za uzee, umbali, usahaulifu nk..! Teh teh teh teh teh...! Kwa kwa kwa kwa..!
 
Teh teh teh....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom