video accelerator

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
wadau
kama mumechunguza sio kila mara kustream videos in a kuwa ni smooth process. hata kama internet connections yako ni ya high speed, uta experience glitch glitch au kukwama kwama huku ikileta ujumbe buffering....
lakini muda huo huo uki idownload video hiyo utaona inadownload kwa high speed hata 5MBps....
kuna programs au software za kusaidia kustream video kiurahisi kama vile speedbit video accelerator au Leao video accelerator lakini sijaona u effective wake.
kama kuna mtu ana solution zaidi tunamuomba atuwakilishie hapa....
 
Mkuu mimi nafahamu player za online na technology

-ukistream na adobe unakua na speed kuliko kustream na silverlight ya microsoft

-chengine ni kua ukistream na native website unakua slow kuliko ukistream na online apps.

Mfano mzuri wa online apps ni jwplayer hii naiona ipo faster na nafkiri mtu unaweza kuieka kwenye website yako ambayo ina fast server na ku accelerate faster zaidi kuliko speed ya kawaida

jwplayer inapatikana kwenye proxy za youtube na website nyingi nyingi kama watchcartoonoline.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom