Video 10 kali kwa EA zilizotajwa na kituo cha TV cha Sound City cha Nigeria, watanzania 6 ndani

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
27,778
30,749
VIDEOS Video 10 kali kwa East Africa zilizotajwa na kituo cha TV cha Sound City cha Nigeria, watanzania 6 kwenye list By Rama Mwelondo TZA
onMay 21, 2016 COMMENTS

Jumamosi ya May 21 2016 stori ambayo imegonga headlines za muziki wa Bongo fleva ni kutoka Nigeria katika kituo cha TV cha Sound City, kituo ambacho ni moja kati ya vituo vinavyocheza video zenye viwango vya kimataifa, Sound City weekend hii imecheza TOP 10 ya video kali East Africa, kwa upande wa Tanzania wasanii sita walifanikiwa video zao kuwa katika list hiyo.


10- Ben Pol – Moyo Mashine



9- Nedy Music ft Ommy Dimpoz ‘Usiende Mbali’



8- Navio – Njogereza



7- Jaguar ft Mafikizolo ‘Going Nowhere’



6- Alikiba ‘Lupela’



5- Sauti Sol ‘Unconditional Bae’



4- Vanessa Mdee ‘Niroge’



3- Kayumba ‘Katoto’



2- Eddy Kenzo ft Niniola – Mbilo Mbilo



1- G Nako ‘Original

Video 10 kali kwa East Africa zilizotajwa na kituo cha TV cha Sound City cha Nigeria, watanzania 6 kwenye list - MillardAyo.Com
 
Hehe btw...unconditional bae ft.Alikiba was shot in the only marina in East and Central Africa..great place.
 
sauti-1.jpg
Screen-Shot-2016-03-11-at-13.39.39.png
 
Back
Top Bottom