Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mzee wa njaa, Feb 18, 2012.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......

  Peter Ash amekuweka hapo kwa kukuamini na sio porojo..Hiyo tabia ya kuita watu kwenye interview na kuchukua ndugu zako pamoja na jamaa zako ungeamua moja kwa moja kuwaweka kuliko kusumbua watu na kuwapotezea muda wao na tambua muda una thamani kubwa.

  Iko siku na wewe utaicha ofisi hiyo na atashika mtu mwingine kwani ofisi hiyo ni taasisi inayoheshimika sana Duniani kwanini wewe Tawi la Tanzania unaliharibu kwa kuleta undugu kwenye ajira? Heshimu taaluma za watu na wewe utaheshimiwa.

  Ukibisha tutatoa mambo ya ndani kwenye ofisi hiyo tunakuomba uache...Ile documentary isikupe kiburi sana naona kwasasa una nyodo nyingi kwa hako kacheo......

  Naswasilisha.....Vicky tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha hizo.
   
 2. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Inaelekea hiyo ofisi inalipa sana maana we ni mtu wa nne kulalamika.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mzee wa njaaa...
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  huyu vicky ana kaka yake dodoma anaitwa Nuru ntetema hana akili vzr cjui ndo kamwaribu ili yeye afanikiwe...
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Lia lia sana mzee wa njaa....
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  watanzania bana ...si utafute kazi kwingine
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Swala siyo kutafuta kazi sehemu nyingine, tumia kichwa jinga wewe. Kama lipo baya linalofanyika ktk ofisi lazima lisemwe na sio kuleta ****** hapa. Kama na wewe unanufaika kwa kuwekwa sehemu bila sifa basi kausha.
   
 8. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na wewe acha kujambisha, kama una madudu yake mwaga hadharani twende sawa, kwani nini bana?
   
 9. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuchinjwa wachinjwe maalbino, kunufaika anufaike vicky ntetema ambaye si albino, wapi na wapi!
   
 10. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  haya mambo ya undugu kwa kweli ni issue. Sometime wengine wanamix na kaudini kidogo.
   
 11. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  weka evidence of proof dada vicky aumbuke
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hamna vikao vya ofisi hadi ulalame hapa? Hii njia uloitumia sidhani kama itatatua tatizo lililopo mkuu vinginevyo yatakuwa ni majungu tu!!!!!
   
 13. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani hakuna kazi zingine kama unasifa ?
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vicky mtetema aliacha kazi ya utangazaji majuu huko naona kaja kwenye NGO kula mambo!! Mzee wa njaa weka mambo hapaaaaaaaaa!
   
 15. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,659
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Nachukia sana mambo ya undugu maofisini, majitu yanaajiriwa hayana hata sifa mnaishia kuyafanyia kazi zao...shit!
   
 16. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  BTW, Who is she?
   
 17. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nia sio kumuumbua ila kumtaka arekebishike tu....Ila itakapobidi tutaweka na tutatuma madudu yake kwa bosi wake Canada tena with evidence......Hii sio utani we are serious..............

  Tunarekebisha tabia mbaya.
   
 18. k

  kiparah JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Vick Mtetema? Who is she by the way?
   
 19. samito

  samito JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole mkuu, Muombe Mungu atakupa kaz isioitaji refa, achana vick mtetema ipo siku ataachia
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaaa......aseeeee!!!?
  Kumbe?!!! Ngoja tutafanyia kazi hii makitu hii....yani offiece imegeuka botique? Anaweka ndugu wa ndugu na mashoga zake?
   
Loading...