Ndugu wa Likwelile: Inawezekana Vicky hana ndoa halali basi mpeni mali zake aendelee na maisha yake

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
Msimuonee Vicky Kamata tafuteni taarifa sahihi kisha mseme.
Screenshot_20230923-091832.png

Mimi nimefuatilia kwa kina na nimepata stori kubwa kutoka kwa ndugu wa karibu wa Likwelile. Ameongea kwa uchungu sana juu ya watoto wa marehemu wanavyozidi kumuaibisha ndugu yao kwa tamaa ya mali za Vicky.

Shemeji yetu tunamjua na amewalea hawa vijana vizuri tu. Vicky hajafuata mali kwa Likwelile ila alipeleka mali. Hizo bilion nne wanazosema ni uongo Likwelile hakuwa na hizo mali nyingi?

Waseme ukweli kabla hajamuoa Vicky Likwelile alikuwa anaishi wapi? Jibu ni Tegeta. Alikuwa na Kampuni gani tuonyeshwe! Alikuwa na hiyo Park?

Hapana.
Nakubaliana na huyo anaesema Vicky kaonewa, Vicky kaolewa na kaka akiwa na mali zake za thamani kubwa, watoto wamezijumlisha wakati hazina majina ya Baba yao. Vicky alimfahamu likwelile akiwa na mke wake na walikuwa wakiishi Tegeta.

Baadae mke akafariki msiba wake nilikuwepo na viongozi wakubwa wa nchi walifika kumzika shemeji yetu huyo nakumbuka tulikuwa na Makamu wa Rais wakati wa wakati huo, msiba wa mke wa Likwelile uliendeshwa kiserikali na wote tulishuhudia.

Baadae Likwelile akaanza kuishi na Vicky Mikocheni tulikuwa tunaenda anatupikia wa msukuma wa watu, siungani na wanaotaka kumuonea. Swali langu kama shemeji yetu Mary Ibrahim alikuwa mke halali ni vipi Likwelile alimtambulisha serikalini Musanchi na alipofariki akazikwa kiserikali?

Kwanini Mary hakuzuwia ile ndoa ya Mke wa Tegeta aliiruhusu ikadumu miaka zaidi ya 30? Vicky aliolewa baada ya Musachi kufariki nikisema Vicky hajui habari za Mary anajua habari za Musanchi nitakuwa nimemuonea Mary?

Inawezekana Vicky hana ndoa halali basi mpeni mali zake aendelee na maisha yake.
 
Msimuonee Vicky Kamata tafuteni taarifa sahihi kisha mseme.
View attachment 2759208

Kwanini Mary hakuzuwia ile ndoa ya Mke wa Tegeta aliiruhusu ikadumu miaka zaidi ya 30? Vicky aliolewa baada ya Musachi kufariki nikisema vicky hajuwi habari za mary anajua habari za musanchi nitakuwa nimemuonea mary?

Inawezekana vicky hana ndoa halali basi mpeni mali zake aendelee na maisha yake.
Je hizo Mali akizipata zitamsaidia Nini?

Maisha ya ujanja ujanja yana gharama kubwa Sana huwezi kutaka kuolewa ili upate Mali huku ukijua anayekula mileage zimeisha.

Kuna dada alifanya huo mchezo mchafu wa kudoea Mali za mzee mmoja mwisho wa picha huyo dada alikufa akamuacha mzee bado yupo hai .

Vick hesabu zake zimegoma kumpa MAISHA Makubwa anaingia katika kumbukumbu kuwa ujanja haulipi.
 
Msimuonee Vicky Kamata tafuteni taarifa sahihi kisha mseme.
View attachment 2759208
Mimi nimefuatilia kwa kina na nimepata stori kubwa kutoka kwa ndugu wa karibu wa Likwelile. Ameongea kwa uchungu sana juu ya watoto wa marehemu wanavyozidi kumuaibisha ndugu yao kwa tamaa ya mali za Vicky.

Shemeji yetu tunamjua na amewalea hawa vijana vizuri tu. Vicky hajafuata mali kwa Likwelile ila alipeleka mali. Hizo bilion nne wanazosema ni uongo Likwelile hakuwa na hizo mali nyingi?

Waseme ukweli kabla hajamuoa Vicky Likwelile alikuwa anaishi wapi? Jibu ni Tegeta. Alikuwa na Kampuni gani tuonyeshwe! Alikuwa na hiyo Park?

Hapana.
Nakubaliana na huyo anaesema Vicky kaonewa, Vicky kaolewa na kaka akiwa na mali zake za thamani kubwa, watoto wamezijumlisha wakati hazina majina ya Baba yao. Vicky alimfahamu likwelile akiwa na mke wake na walikuwa wakiishi Tegeta.

Baadae mke akafariki msiba wake nilikuwepo na viongozi wakubwa wa nchi walifika kumzika shemeji yetu huyo nakumbuka tulikuwa na Makamu wa Rais wakati wa wakati huo, msiba wa mke wa Likwelile uliendeshwa kiserikali na wote tulishuhudia.

Baadae Likwelile akaanza kuishi na Vicky Mikocheni tulikuwa tunaenda anatupikia wa msukuma wa watu, siungani na wanaotaka kumuonea. Swali langu kama shemeji yetu Mary Ibrahim alikuwa mke halali ni vipi Likwelile alimtambulisha serikalini Musanchi na alipofariki akazikwa kiserikali?

Kwanini Mary hakuzuwia ile ndoa ya Mke wa Tegeta aliiruhusu ikadumu miaka zaidi ya 30? Vicky aliolewa baada ya Musachi kufariki nikisema vicky hajuwi habari za mary anajua habari za musanchi nitakuwa nimemuonea mary?

Inawezekana vicky hana ndoa halali basi mpeni mali zake aendelee na maisha yake.

Kuna mali ya mtu inaweza jumlishwa bila kuwa na jina la marehemu, ficheni ujinga wenu.
 
Huyu Vicky ni mpambanaji toka anasoma SAUT,anashare kwenye hotel ya katoma hill geita na wajomba zake,anaviwanja na majumba Dar,mwanza,sengerema,geita,nimeanza kumfahamu akiwa na pesa kitambo ,kabla hata ya kuwa mbunge...Hapo ninachokiona madogo wameingiza Hadi Mali ambazo ni za Vicky...Ameolewa na Likwelile siyo Kwa kufata pesa ,alikuwa anatafuta utulivu na kujenga familia...Dada Vicky asichukulie personally.Jumba bovu likikuangukia hakuna namna,ni sehemu ya Maisha ni kukaza mwendo na kumtanguliza Mwenyezi Mungu mbele...
 
jamani tusimponde vick kamata kwa suala hilo,jiulize vick angekuwa ni dada yako ungejisikiaje? kwa kuporwa kila kitu,yaah japo ni staili inayotumika kwa wadada wa kileo kupata mali za wastafu,je angekuwa ndo dada ako kafanyiwa hivyo ungejisikiaje?
 
Msimuonee Vicky Kamata tafuteni taarifa sahihi kisha mseme.
View attachment 2759208
Mimi nimefuatilia kwa kina na nimepata stori kubwa kutoka kwa ndugu wa karibu wa Likwelile. Ameongea kwa uchungu sana juu ya watoto wa marehemu wanavyozidi kumuaibisha ndugu yao kwa tamaa ya mali za Vicky.

Shemeji yetu tunamjua na amewalea hawa vijana vizuri tu. Vicky hajafuata mali kwa Likwelile ila alipeleka mali. Hizo bilion nne wanazosema ni uongo Likwelile hakuwa na hizo mali nyingi?

Waseme ukweli kabla hajamuoa Vicky Likwelile alikuwa anaishi wapi? Jibu ni Tegeta. Alikuwa na Kampuni gani tuonyeshwe! Alikuwa na hiyo Park?

Hapana.
Nakubaliana na huyo anaesema Vicky kaonewa, Vicky kaolewa na kaka akiwa na mali zake za thamani kubwa, watoto wamezijumlisha wakati hazina majina ya Baba yao. Vicky alimfahamu likwelile akiwa na mke wake na walikuwa wakiishi Tegeta.

Baadae mke akafariki msiba wake nilikuwepo na viongozi wakubwa wa nchi walifika kumzika shemeji yetu huyo nakumbuka tulikuwa na Makamu wa Rais wakati wa wakati huo, msiba wa mke wa Likwelile uliendeshwa kiserikali na wote tulishuhudia.

Baadae Likwelile akaanza kuishi na Vicky Mikocheni tulikuwa tunaenda anatupikia wa msukuma wa watu, siungani na wanaotaka kumuonea. Swali langu kama shemeji yetu Mary Ibrahim alikuwa mke halali ni vipi Likwelile alimtambulisha serikalini Musanchi na alipofariki akazikwa kiserikali?

Kwanini Mary hakuzuwia ile ndoa ya Mke wa Tegeta aliiruhusu ikadumu miaka zaidi ya 30? Vicky aliolewa baada ya Musachi kufariki nikisema vicky hajuwi habari za mary anajua habari za musanchi nitakuwa nimemuonea mary?

Inawezekana vicky hana ndoa halali basi mpeni mali zake aendelee na maisha yake.
Nani aseme au mahakama imesema na hao walengwa wameweka mitandaoni si tungejuaje?, shemeji yake star lazima habari zake zisemwe, na Kama vipi wafungulie kesi mahakama na hao watoto wamedhulumu Mali ya kamata, suluhu alipatikani mitandaoni au kunung'unika ovyo, wanajipendekeza kwa Vick kisa yupo tanapa.
 
Msimuonee Vicky Kamata tafuteni taarifa sahihi kisha mseme.
View attachment 2759208
Mimi nimefuatilia kwa kina na nimepata stori kubwa kutoka kwa ndugu wa karibu wa Likwelile. Ameongea kwa uchungu sana juu ya watoto wa marehemu wanavyozidi kumuaibisha ndugu yao kwa tamaa ya mali za Vicky.

Shemeji yetu tunamjua na amewalea hawa vijana vizuri tu. Vicky hajafuata mali kwa Likwelile ila alipeleka mali. Hizo bilion nne wanazosema ni uongo Likwelile hakuwa na hizo mali nyingi?

Waseme ukweli kabla hajamuoa Vicky Likwelile alikuwa anaishi wapi? Jibu ni Tegeta. Alikuwa na Kampuni gani tuonyeshwe! Alikuwa na hiyo Park?

Hapana.
Nakubaliana na huyo anaesema Vicky kaonewa, Vicky kaolewa na kaka akiwa na mali zake za thamani kubwa, watoto wamezijumlisha wakati hazina majina ya Baba yao. Vicky alimfahamu likwelile akiwa na mke wake na walikuwa wakiishi Tegeta.

Baadae mke akafariki msiba wake nilikuwepo na viongozi wakubwa wa nchi walifika kumzika shemeji yetu huyo nakumbuka tulikuwa na Makamu wa Rais wakati wa wakati huo, msiba wa mke wa Likwelile uliendeshwa kiserikali na wote tulishuhudia.

Baadae Likwelile akaanza kuishi na Vicky Mikocheni tulikuwa tunaenda anatupikia wa msukuma wa watu, siungani na wanaotaka kumuonea. Swali langu kama shemeji yetu Mary Ibrahim alikuwa mke halali ni vipi Likwelile alimtambulisha serikalini Musanchi na alipofariki akazikwa kiserikali?

Kwanini Mary hakuzuwia ile ndoa ya Mke wa Tegeta aliiruhusu ikadumu miaka zaidi ya 30? Vicky aliolewa baada ya Musachi kufariki nikisema Vicky hajui habari za Mary anajua habari za Musanchi nitakuwa nimemuonea Mary?

Inawezekana Vicky hana ndoa halali basi mpeni mali zake aendelee na maisha yake.
Umetumwa shetani wewe!
 
Dah! Inasikitisha sana kuona pande zote mbili zinapambana kugombea mali baada tu marehemu kufariki.

Aisee hata nyinyi mliogawanyika kwenye hizo kambi mbili (Team Vicky Kamata vs Team Watoto wa marehemu), nawaonea mpaka huruma kwa jinsi mnavyochezeshwa ngoma isiyo wahusu.
 
jamani tusimponde vick kamata kwa suala hilo,jiulize vick angekuwa ni dada yako ungejisikiaje? kwa kuporwa kila kitu,yaah japo ni staili inayotumika kwa wadada wa kileo kupata mali za wastafu,je angekuwa ndo dada ako kafanyiwa hivyo ungejisikiaje?

Ni kweli ndugu yangu ningejisikia vibaya.....Watu wanaandika mengi kuhusu Vicky....Lakini mbona uhuni ulio kubuhu wa Likwelile hauzungumzwi......Likwelile tunayem,fahamu alikuwa mtu wa watoto.....Hakubakiza Hakusaza......!!!
 
Back
Top Bottom