Vichwa vya hadithi enzi hizo premary

Vichwa vya hadithi enzi hizo premary

Nimeamini wa Tz wengi ni masikini yaani kati yenu hakuna hata mmoja aliesona shule wanazoziita ENGLISH MEDIA SCHOOL
Kama yuko aweke kichwa cha kitabu kwa hiyo lugha

wewe ndiye maskini wa mawazo..nani kakwambia English medium hawasomi somo la kiswahili????....akili hamna
 
Jamaniiiiiii, wanajamvi acheni dharau si mmeulizwa!! :- "mkumbuka haduthi ipi?" jibuni teh! teh! teh!
 
siku ya gulio katereo
mpapai na matete
kibanga ampiga mkoloni
tola alia gizani
visiting moproco factory
juma na uled
hunting antelop
 
Nimeamini wa Tz wengi ni masikini yaani kati yenu hakuna hata mmoja aliesona shule wanazoziita ENGLISH MEDIA SCHOOL
Kama yuko aweke kichwa cha kitabu kwa hiyo lugha

mkuu ni medium.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom