Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

Slaa aipasua chadema

mgombea wake akosa watu mikutano.

MbowE AHAHA

UFIPA YAFUNGWA KWA MASAA
 
Jamani hili jambo si la kufanyiwa mdhaha. Inaumiza kujua hata maaskofu wa kikatoliki pia wamenunuliwa, tulifikiri ni waandishi na wanasiasa tu kumbe hata watumishi wa Mungu? Tanzania imegeuka taifa la wala rushwa, hii ni hatari kwa mstakabali wa taifa letu.
 
Huyu babu sijui kama alifikiri vyema kabla ya kuropoka hii kauli. Ni kauli ambayo huenda akaijutia hapo baadae!
 
mm nasubiri wanasheria watathimini/walonge
 
Jamani hili jambo si la kufanyiwa mdhaha. Inaumiza kujua hata maaskofu wa kikatoliki pia wamenunuliwa, tulifikiri ni waandishi na wanasiasa tu kumbe hata watumishi wa Mungu? Tanzania imegeuka taifa la wala rushwa, hii ni hatari kwa mstakabali wa taifa letu.
Nchi imeoza mkuu. Tunahitaji mabadiliko ya kimfumo.
 
Jamani hili jambo si la kufanyiwa mdhaha. Inaumiza kujua hata maaskofu wa kikatoliki pia wamenunuliwa, tulifikiri ni waandishi na wanasiasa tu kumbe hata watumishi wa Mungu? Tanzania imegeuka taifa la wala rushwa, hii ni hatari kwa mstakabali wa taifa letu.

Usiwe mwepesi wa kuamini mkuu,siasa ni habari nyingine
 
AL-MAJINUN: Dkt slaa adhihirisha Chuki yake kwa Lowassa
 
Tanzania Daima: Tatizo ni Urais

Nipashe: Slaa achafua hali ya hewa Chadema

Uhuru: Magufuli njia nyeupe Ikulu
 
Mbona hajawaambia yeye kuwa kanunuliwa!!??? Au kama kuna watumishi walionunuliwa na ccm!!???

Mtu ukiona mwenzako anapendwa ukasema ananunua watu ujue huna hoja!!!

We need issues na siyo mitusitusi isiyo na tija kwa taifa ewe slaa padre uliyetoroka rudi kanisani ukatubu umrudie mungu wako uwe padre tena maana maisha ya nje ya upadre huyawezi tena!!!!!!!!!!!!

Wake watakushinda, siasa ushashindwa na hakuna utakaloshika litakalofanikiwa trust me!!!! You have to go back kuwa padre!!!!!!!!!!!!!!
 
Slaa hana ushahidi wa mambo ila anatumia njia moja ya vitisho vya ushahidi, sasa hatutaki na ushahidi maana ameshindwa kumtaja mbaya wetu.
 
Back
Top Bottom