Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,731
- 5,672
Uhuru: Magufuli aunda baraza Makini.
Tanzania Daima: Chupa Mpya mvinyo uleule.
Mtanzania: Baraza jipya, mawaziri wa JK watupwa.
Mwanahalisi: Mwenye kashfa ya Escrow ateuliwa waziri.
Nipashe: Baraza jipya latangazwa.
Mawio: Goli la mkono lalipwa fadhila.
Jambo leo: Rais atangaza baraza la mawaziri.
N.k.(Ongeza na vingine)