Vichwa vya habari magazeti ya kesho

Vichwa vya habari magazeti ya kesho

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,723
Reaction score
5,662
Uhuru: Magufuli aunda baraza Makini.

Tanzania Daima: Chupa Mpya mvinyo uleule.

Mtanzania: Baraza jipya, mawaziri wa JK watupwa.

Mwanahalisi: Mwenye kashfa ya Escrow ateuliwa waziri.

Nipashe: Baraza jipya latangazwa.

Mawio: Goli la mkono lalipwa fadhila.

Jambo leo: Rais atangaza baraza la mawaziri.

N.k.(Ongeza na vingine)
 
magufuli aonyesha dharau na nyodo kwa waandishi wa habari
 
Tanzania ina reserve kubwa ya Gesi,Makaa ya Mawe,Dhahabu,Tanzanite,mbuga kubwa lakini Wananchi wake ni masikini wa chakula na kufikiri..
 
Back
Top Bottom