Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............
Ukimuondoa Obama aliye mmatumbi wengine wote ni weupe naona wamatumbi wako studio wakiaandika vesi ,yo rap man na wengine wanapata stimu ya majani ya bobRais wa Marekani alipata muda wa kukaa na hivi vichwa......sijui walikuwa wanaongea nini...namwona Steve Jobs na CEO wa Face Book
View attachment 38580
View attachment 38581
The executives who attended the dinner were:
Carol Bartz, President and CEO of Yahoo!
John Chambers, CEO and Chairman of Cisco Systems
Dick Costolo, CEO of Twitter
Larry Ellison, CEO of Oracle
Reed Hastings, CEO of Netflix
John Hennessy, President of Stanford University
Art Levinson, Chairman and former CEO of Genentech
Steve Jobs, CEO of Apple
Eric Schmidt, Chairman of Google
Steve Westly, Managing Partner and Founder of The Westly Group
Mark Zuckerberg, President and CEO of Facebook
Ikitokea unapata muda wa kukaa nao mezani ungeuliza swali gani???
hahaaaaaaaaaaaaaaaa umeniua na kicheko huku kumbe mwamjua president wenu kwann hamumutoi sasa hapo kwa kiti mukaweka mwingineSipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............
wale wanamtabiria ushindi na kumpa uhakika ka mtu akimpinga anafufilia mbali so lazima awapende sana na kuwaheshimu munoooooooo..................R.I.P shehe yahayandugu yangu hata hujakosea....prezida wetu hana muda wa kukaa na watu kama hao (kwa Tanzania) ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya na kina Maji marefu anao....
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............
Unachukua skwea ruti, sasa hii skwea ruti una iskwea eee!, ngoja tuiandike ubaoni, sasa hapa kwenye skwea una iskwea hii skwea ruti, tuko pamoja...ghafla kengele ikapigwa ticha anaacha homu weki ya skwea ruti kwa madenti wahangaike nayo.
Shule zetu za TAKA or sori za KATA
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............
Mbona Mnamkashifu Rais wetu? Mtakula BANndugu yangu hata hujakosea....prezida wetu hana muda wa kukaa na watu kama hao (kwa Tanzania) ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya na kina Maji marefu anao....
Mbona Mnamkashifu Rais wetu? Mtakula BAN
ndugu yangu hata hujakosea....prezida wetu hana muda wa kukaa na watu kama hao (kwa Tanzania) ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya na kina Maji marefu anao....
For your information, President wetu ni personal friend wa kichwa kikubwa zaidi ya hivyo vichwa viliopo hapo, Bill Gates. Au hujui hilo?
Huyo Bill Gate sio kichwa..kwenye mambo ya uvumbuzi..yupo kibiashara zaidi ndo maana hata hapo hayupo
Unanchekesha, kama humjui bill gates, m google kidogo ujuwe ni nani alifanya mapinduzi ya softiweya ya komyuta duniani. Biashara wala haijui anaingiza mihuzi kwa uvumbuzi wake wa awal.
Bill Gate hajafanya chochote...aliyefanya kazi kubwa ni PAUL KIDNEL..kutengeneza DOS (disk Operating system) mabosi wa IBM waliposhindwana nao kibiashara wakamtumia Bill gate kupata hiyo Disk ikawa sasa ni issue ya Bussiness, walitaka Bill gate awauzie hiyo Disk akakataa akawakodishia...ndia maana mpk leo Bill ana haki miliki ya Windows... kama hujui uliza!!