Vichwa Muhimu Duniani.....

Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,590
1,500
Mbona Mnamkashifu Rais wetu? Mtakula BAN

Badala ya kukaa na wasomi na Engineers kuhusu umeme una uchumi...angalia yeye yupo huku....kweli ndege wanaofanana huruka pamoja.. wasanii.jpg
 

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,519
0
rais wa marekani alipata muda wa kukaa na hivi vichwa......sijui walikuwa wanaongea nini...namwona steve jobs na ceo wa face book

View attachment 38580

View attachment 38581

the executives who attended the dinner were:


Carol bartz, president and ceo of yahoo!
John chambers, ceo and chairman of cisco systems
dick costolo, ceo of twitter
larry ellison, ceo of oracle
reed hastings, ceo of netflix
john hennessy, president of stanford university
art levinson, chairman and former ceo of genentech
steve jobs, ceo of apple
eric schmidt, chairman of google
steve westly, managing partner and founder of the westly group
mark zuckerberg, president and ceo of facebook

ikitokea unapata muda wa kukaa nao mezani ungeuliza swali gani???
wote hapo ni freemason!
 

kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,269
1,250
Wacha hizo weyee, soma hapa upate kumjuwa Bill gates ni nani, huyo Paul Kidnel anakuja katika historia ya baadae kabisa ya BG:

Bill Gates - Wikipedia, the free encyclopedia

Halafu tazama score yake ya SAT halafu kai compare na hao waliokaa hapo score zao za SAT ndio utajuwa nani ni kichwa zaidi. Unanchekesha!

Steve jobs yuko juu sana ya bill gates katika technology. Ni kati ya watu wa mwanzo kabisa kupata tuzzo za heshima ya kitaifa nchini marekani ktk technology. Ni CEO bora kabisa for his generation. acha ubishi kama hujui kasome.
 

Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,590
1,500
Bill Gate hajafanya chochote...aliyefanya kazi kubwa ni Gary Kildal....kutengeneza DOS (disk Operating system) mabosi wa IBM waliposhindwana nao kibiashara (walipanga mkutano, siku ilipofika jamaa akaw anacheza na mbwa wake) wakamtumia Bill gate kupata hiyo Disk ikawa sasa ni issue ya Bussiness, walitaka Bill gate awauzie hiyo Disk akakataa akawakodishia...ndia maana mpk leo Bill ana haki miliki ya Windows... kama hujui uliza!!

Wacha hizo weyee, soma hapa upate kumjuwa Bill gates ni nani, huyo Paul Kidnel anakuja katika historia ya baadae kabisa ya BG:

Bill Gates - Wikipedia, the free encyclopedia

Halafu tazama score yake ya SAT halafu kai compare na hao waliokaa hapo score zao za SAT ndio utajuwa nani ni kichwa zaidi. Unanchekesha!

FF Sijakataa kuwa Bill Gate ni Mkali ila akili ya biashara ndo iliyomfikisha alipo coz Gary Kildal ndo alikuwa mkali zaidi yake soma hapa hapa chini

Gary Kildal - The man who could have become Bill Gates. | GHABUNTU
 

chante

Senior Member
Mar 11, 2011
175
195
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............

angewauliza namna ya kupata GAMES katika izo programes/software zao,kama alivomuuliza yule mchina aliekuwa anamfundisha namna pilots wanavo operate ndege!
 

SOBY

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
1,268
0
Hao ni wamarekani ... wapo hapo na rais wao.
Sasa hapa uite kichwa gani?..... Labda Slaa PhD ya ukweli.
Au mnataka akae na profesa Mlambiti? Aliyekuwa anakuja darasani kutusomea kitabu chake....
Au shivji?, may be ....... Mbowe?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom