1.Mohamed Janabi,Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili.
2.Aidan Eyakuze,gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
3.Maxence Melo na Mike Mushi waanzilishi wa JamiiForum
4.Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu,wachekeshaji.
5.Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila, wanasheria
6.Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu,wanahabari.
7.Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi, wanaharakati
8.Waanzilishi wa Max malipo
9.Ruge Mutahaba,Sanaa na burudani
10.Mbwana Ally Samatta.
11.Richard Mabala na Rakesh Rajani,tasnia ya elimu
12.Ali Mufuruki,Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo,wafanyabiashara wanamazingira.
13.Masoud Kipanya na James Gayo,wachora katuni
Ongeza wengine
Basi mkuu naunga mkono kwamba nje na uwanja wake wa siasa ameitumia taaluma ya yake ya sheria kusaidia watu waliomuhitaji kwa huduma hiyo.Achana na TLS,chukua amewahi kuwatetea watu waliothiriwa na uchimbaji madini Mara
Umechanganya wengine ni wazungu kama Mabala wa Mabalaa; wengine wanyarwanda kama Aidan Eyakuze; Wahindi Rakesh Rajan etc1.Mohamed Janabi,Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili na Prof Sarungi.
2.Aidan Eyakuze,gwiji wa utafiti na mkurugenzi wa Twaweza.
3.Maxence Melo na Mike Mushi waanzilishi wa JamiiForum
4.Mzee Majuto, Idriss Sultan ,Joti, Koi Mzungu,wachekeshaji.
5.Tundu Lissu,Peter Kibatala , Jebra Kambole na Christpher Mtikila, wanasheria
6.Salum Kikeke, Zuhura Yunus,Charles Hillary, Tido Mhando na Jenerali Ulimwengu,wanahabari.
7.Hellen Kijo Bisimba na Rebeca Gyumi, wanaharakati
8.Waanzilishi wa Max malipo
9.Ruge Mutahaba,Sanaa na burudani
10.Mbwana Ally Samatta.
11.Richard Mabala na Rakesh Rajani,tasnia ya elimu
12.Ali Mufuruki,Mkaa wa Idriss na Alen Kimambo,wafanyabiashara wanamazingira.
13.Masoud Kipanya na James Gayo,wachora katuni
Ongeza wengine
Umechanganya wengine ni wazungu kama Mabala wa Mabalaa; wengine wanyarwanda kama Aidan Eyakuze; Wahindi Rakesh Rajan etc
Labda atoe hao wengine amuache Idris Sultani, yule dogo ni geniusNamba 4 toa Idris sultani weka Mpoki
Namba 5 ongeza marehemu mchungaji Christopher Mtikila
Ukiona mtu anachokochoko na Serikali jua ana asili ya Burundi au RwandaKuna wazungu na wahindi wengi ambao ni Raia wa Tanzania,hata bunge la Tanzani lina wabunge ambao sio weusi kama wewe.
Uchunguzi dhidi ya Aidan Eyakuze umekamilika? mara ya mwisho nilisikia uhamiaji bado wako na paspoti yake wanaendelea na uchunguzi,wakisema ni mnyarwanda,nitag nimtoe.
Dooohh! Idris ni genius??!!! Uko serious?Labda atoe hao wengine amuache Idris Sultani, yule dogo ni genius
Neno "nje ya siasa" kwenye uzi wako linamaanisha nini?Ni mwanasheria wa muda mrefu pia aliyeanzia utetezi katika sekta ya mazingira na amewahi kuwa Rais wa TLS.
Neno "nje ya siasa" kwenye uzi wako linamaanisha nini?
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Watu wa zamani mna kasumba ya kufikiri kila cha zamani ni kizuri na kila kitu kipya ni kibaya. Mtanga zaidi ya Idris?Kumuweka idris kwenye list ya comediani bora kuwahi kutokea ni ujinga. Idris hana tofauti na kina mc pilipili
Atleast ungemuweka mmoja kati ya hawa
- Max
- Zembwela
- Kingwendu
- Senga
- Bambo
- Joti
- Mpoki
- Masanja
- Mtanga
SafiPoshy qeen, sanchoka, mariam birian,
Ova
Genius wewe basi, hapo vipi?Dooohh! Idris ni genius??!!! Uko serious?
Kweli mapenzi ni kipofu hayaon wala hayasikii huyo jamaa n mwanasiasa pureAchana na TLS,chukua amewahi kuwatetea watu waliothiriwa na uchimbaji madini Mara
Idriss Sultan na Koi mzungu hao bado kabisa yaani hata ukitaja 20 bora upande wanaofanya comedy hawapo.