Vichocheo saba vya upendo

Vichocheo saba vya upendo

mavuno nyamanoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
587
Reaction score
156
1. Mawasiliano, 2.Bajeti, 3. Uchumi (kipato) 4.Tatizo la kijamii(mwingiliano) 5. Tatizo la tabia (malezi na mafundisho, mazoea) 6.Uzazi, ugumba, 7. Tatizo katika tendo la ndoa (kujamiiana). Haya ndiyo matatizo makuu yanayo vunja na kutenganisha ndoa.
 
Kweli kabisa..uchamungu na kuheshimiana pia
 
Mmh hiyo heading na sentesi yako ya mwisho mbona kama vinakinzana ama naota??
 
Mmh hiyo heading na sentesi yako ya mwisho mbona kama vinakinzana ama naota??

havikinzani kiongozi wangu. haya niliyo andika yanapande mbili yaani hasi na chanya. nandiyo chanzo cha migogolo. tatizo natumia cm
 
1)mawasiliano ni moja ya mambo yanayo vunja ndoa. ukikutana na mwanamke aliye achana na mume. atakuambia tulikuwa hatuelewani na mume wangu na mume vivyo hivyo. Adui mkubwa wa mawasiliano ni (Hasira) kumbuka ushauri wa Biblia 1.Petro 3:8-9
 
mwenzio akiwa ameghafirika, amejaa hasira. mhurumie, kisha onyesha upendo kwake. msikitikie kumunyenyekea. usilipe baya kwa baya. kumbuka hata Dreva akikutana na gari limejaza mizigo kwenyebarabara nyembamba tena linamtolea ishara Full light hupisha
 
hupisha yule aliye na mzigo apite. jifunze kumufahamu mumeo/mkeo, akija amejaza hasira mpishe, na tafuta nanjia ya kupakua hasira alizo jaza. anza kutumia maneno mazuri yaletayo amani moyoni kama samahani,tafadhali naomba,karibu,kwaheri mpenzi N.K
 
nakaribisha maswali kwa vichocheo sita vilivyo baki. kumbuka sitajibu swali moja mara mbili ili kutowachosha wachangiaji
 
Aaa! we MSABATO. Mavuno mi huwa nakukubari sana kwa uchambuzi wako wa masomo yahusianayo na Biblia. ila sikuhizi sikuoni kijiweni kwetu au umesafiri? Wadau wanakuulizia sana. unge chambua vichocheo vyote ingekuwa vizuri zaidi. Mungu akutangulie.
 
Mapolomoko. kwasasa niko Biharamulo Kagera. nimekuja kuezeka (paua) wiki ijayo nitakuwa hapo. nashukuru kwa kunitakia amani ya BWANA.
 
Back
Top Bottom