Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

Kuhusu "listen" ipi 124 Ali ?
 
Mbona kuna mahali umehighlight kwamba ni makosa wakati wako sahihi.

Alafu huu sio usomi....uki pinga njoo na usahihi..
 
Ujiangalie wewe, umeshindwa kujibu maswali hayo ungepita kimya kimya tu.

Hata hayo yaliyochambukiwa hapo, mbona mengine yameachwa...basi andika wewe kivizuri...

Mfata mkumbo hujui chochote...eeeh
Acha jazba. Ona sasa na wewe unavyochapia Kiswahili!
"yaliyochambukiwa" ndiyo nini?
"kivizuri".

Ni kweli wamekosea na hii inadhihirisha ni jinsi gani hawakuwa makini katika kufanya hiyo kazi.
 
This was a planndd crime. Nakumbuka nilipokua s/msingi, tulikua tunachanguliwa wenye akili kusahihisha mabulungutu ya madaftari ya shule nzima. Nahisi waliwapa watoto wao watunge.
 
She likes washing" is correct.
 
Look at the insects " is correct.

Look at these insects ndo wrong..
 
Acha jazba. Ona sasa na wewe unavyochapia Kiswahili!
"yaliyochambukiwa" ndiyo nini?
"kivizuri".

Ni kweli wamekosea na hii inadhihirisha ni jinsi gani hawakuwa makini katika kufanya hiyo kazi.


Eeeeh mleta mada kanijibu vizuri tu, hata kufikiria nje ya box juu ya kudonoa huwezi eeeeeeh jicheke tafuta lingine.
 
Tatizo elimu ni ya bure na siku zote vya bure..............
 
Kitabu cha darasa la ngapi hiki!?

Mapungufu yapo ndio ila not to that extent... Watch it.
 
Kitabu cha darasa la ngapi hiki!?

Mapungufu yapo ndio ila not to that extent... Watch it.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ seems like you are dreaming. Not to that extent? Boy! Can't you see the glaring evidence? By the way, that is not even the full extent. Nimeweka MACHACHE tu. Nimeacha kibao. Kuhusu ni kitabu cha darasa gani, kwani hujasoma thread ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…