HAta sijui, nimeuliza kwakua sijaona cha kucheka!..Sasa hiyo ni la kusikitika?
Baadae kidogo tutapata majibu, either ni kucheka au kufa kiume.
🤣🤣🤣🤣Soma Tena....Kuna kafunny kanakuja automatically.....unecheck bandama lakini mkuu?HAta sijui, nimeuliza kwakua sijaona cha kucheka!..
Kacheka tu hata hakujua nini kimemchekeeshaa!Umecheka nini mtumish?
Kiukweli ni la kusikitisha!Sasa hiyo ni la kusikitika?
Baadae kidogo tutapata majibu, either ni kucheka au kufa kiume.
Bado unasubiri majibu?Baadae kidogo tutapata majibu, either ni kucheka au kufa kiume.