Vicent Kiboko Nyerere ni namba nyingine!

Lile jamaa jinga kweli mwigulu Nchemba tuliwahi kumkamata na mke wa rafiki yake pale daruso, na hilo jina amerudia shule zaid ya mara nne zote anafeli na mara ya tano akafaulu kwenda mazengo na hilo jina , ni bonge la kilaza sijui hta kwA nini wanjiramba walilichagua , Igunga peak hotel lilikamatwa na kijana mmoja anaitwa masanja linatoa rushwa akaliitia pccb likarushwa kichura huku yeye analichukua picha , liambieni libishe tumuite masanja aweke picha humu

post kama hizi zinaishusha sana hadhi Jamii forums

as much as i don't like ccm, sipendi upotoshwaji.

huyu jamaa alikua mwaka mmoja mbele yangu pale UDSM, wote tulikua tunafanya degree ya uchumi, he is super bright! check results zake za chuo, alipata scholarship ya BOT moja kwa moja, na alipata kutokana na matokeo yake mazuri, sasa nashangaa kusikia kwa mtu anayejifanya anamjua eti jamaa ni kilaza.
 
ni mbunge wangu wa jimbo la musoma mjini. Ni kijana machachari asiependa kujionyesha wala kujikweza. Anazijua vizuri sana siasa chafu za bongo hasa zile majitaka za magamba na anazicheza vyema. Kijana yupo focused sana katika siasa za maendeleo etc kwa wale msiomjua habari ndio hiyo, kwetu musoma jamaa ni maarufu kwa jina la "invisible nyerere". Nategemea atafanya makubwa sana arumeru mashariki!
unajua ukikaa na mwizi na wewe lazima uwe mwizi.sasa kijana yupo na watu majasiri wasiokua waoga wala waongo wala wezi.wewe unategemea ukikaa na doctor wa ukweli,alafu ukakaa na kamanda,alafu ukakaa na chali ya arachuga lazima tu uwe jasiri na mzalendo na mpenda haki.there is no conspirance in such group of gentle.sasa fanya comparison na mbunge mmoja mmoja wa magamba,wote wezi pamoja na baba zao,unakuta kumbe wamerithishana hiyo tabia.angalia nape,alafu njoo kwa mwamvita makamba,alafu nenda kwa kinje,lile tozi la ngombale..yaani hakuna mwenye afadhali pale.viva chadema
 
post kama hizi zinaishusha sana hadhi Jamii forums

as much as i don't like ccm, sipendi upotoshwaji.

huyu jamaa alikua mwaka mmoja mbele yangu pale UDSM, wote tulikua tunafanya degree ya uchumi, he is super bright! check results zake za chuo, alipata scholarship ya BOT moja kwa moja, na alipata kutokana na matokeo yake mazuri, sasa nashangaa kusikia kwa mtu anayejifanya anamjua eti jamaa ni kilaza.

Labda wewe ndo mjinga, tunakuambia huyo unayemuita supa brait kavunja sheria kwa kukariri darasa la saba, hicho ni moja ya vielelezo vya ukilaza na uvunjaji wa sheria na kanuni. Nakuambia hiviii, vyeti vyake vitafutwa vyoote, na debe lazima akanyee, kinachosubiriwa ni muda tu!!!!! huo u-supa brait hata lipumba tunaambiwa alikuwa ekstra supa brait.
 
Maji marefu,Ngereja na mkama
unajua ukikaa na mwizi na wewe lazima uwe mwizi.sasa kijana yupo na watu majasiri wasiokua waoga wala waongo wala wezi.wewe unategemea ukikaa na doctor wa ukweli,alafu ukakaa na kamanda,alafu ukakaa na chali ya arachuga lazima tu uwe jasiri na mzalendo na mpenda haki.there is no conspirance in such group of gentle.sasa fanya comparison na mbunge mmoja mmoja wa magamba,wote wezi pamoja na baba zao,unakuta kumbe wamerithishana hiyo tabia.angalia nape,alafu njoo kwa mwamvita makamba,alafu nenda kwa kinje,lile tozi la ngombale..yaani hakuna mwenye afadhali pale.viva chadema
 
Kwa Musoma anaishi opposite na Ofisi za Mohamed Trans zamani Scandinavia ila shughuli zake kabla ya kuingia kwenye siasa za kimagwanda sizikumbiki vizuri... hebu nikumbushe mkuu.

Jamaa alikuwa ni mfanya biashara wa kawaida tu, roots za dubai, hong kong kazichapa sana tu, tena kawabeba wengi!
 
Lameck Madelu!?? Kumbe ndio maana kwenye majina yake katikati anatupia L. M?? Hata hapa JF amejisajili kwa majina ya Mwigulu L. M Nchemba!

Anyway, safari hii Vincent Nyerere amewashika vibaya ccm huko Arumeru mashariki hata wafanyeje hawatoki.

So far so good. Good job Chadema team.

Ukatibu uenezi wa chama wangempa Vincet Nyerere bwana, jamaa anapanch na swaga za ukweli teh!
 
Vincent ni kiboko kama lilivyo jina lake. kwa mara ya kwanza nimemwona Mkapa kaufyata.
 
Mnazani siasa ni uanaharakati.pigen domo jf huko kazi ni ngumu sana cdm kamasi linawatoka.
 
namtilia shaka sana huyu jamaa na ni mara chache sana mtu kua na majina zaidi ya matatu inaonekana ni mbabaishaji..
MWIGULU LAMECK MADELA NCHEMBA
 
Back
Top Bottom